Tofauti ya makato kati ya kutoa pesa kwa mawakala na kutoa kwenye ATM

Ila hawa mawakala wanakula shavu xana aseee kwenye kazi yangu huwa nakutanaga nao Sana Bulk teller akiwa na begi lake simple lkn ndani kuna kama 40 au 50 mill anadeposit hio ni almost kila siku Nmb Branch, Mbagala, temeke na K/koo,...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom