Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

Unalinganisha ardhi na mbingu ? Mhutu Zanzimana alikuwa ibilisi kasoro mkia .
Screenshot_20210430-130326.png
 
Mwendazake alikuwa ni mtu wa ajabu kuliko ata amaajabu yenyewe eti kwenye awamu yake vichwa kadhaa vya train vikaokotwa bandarini daaaah ila Magu was so fantastic asee unaokota kichwa cha train!!!!!
Ilibaki kidogo tu waokote na mikia🤣
 
Hizo ni siasa za kuwanyamazisha akina Msukuma.
Utendaji wa mama umetofautiana kwa mbali sana na mwendazake.
Hapo ndio nikakumbuka usemi wa kula na kipofu...au kumchinja kobe inahitaji timing ya hali ya juu.

Mama diplomasia imelala.
 
Nilisema suala la mahindi ni vita ya kiuchumi baadhi yenu hamkuelewa. Nilisema madai ya Wakenya kwamba mahindi yetu yana sumu kuvu (mycotoxins) ni batili kwa sababu tumewalisha kwa miaka 60 na hawakuona sumu iweje waone leo? Nikashauri tusipanic bali tukae ili tusolve kidiplomasia sio kibabe. Lakini MATAGA wakajaa mapovu na kusema hata tusipouza Kenya tutauza Rwanda na Burundi.

Nikacheka sana. Rwanda na Burundi wanaingiza tani 45K za mahindi kwa mwaka. Lakini Kenya inaingiza tani 400K. Maana yake ni kwamba mahindi ambayo tungewauzia Kenya kwa mwaka mmoja, tutawauzia Rwanda na Burundi kwa miaka 10. Sasa hii ni biashara au utopolo?

Ni kweli tumebarikiwa ardhi nzuri kwa mazao ya chakula lakini hii 'arrogancy' ya kuamini fulani akisusa tutauzia wengine, ndio imetugharimu. Zaidi ya miezi miwili wafanyabiashara wa mahindi hawajui wapeleke wapi mahindi yao baada Kenya kuzira. Serikali ya mwendazake iliyowaambia watauza popote, haikuwatafutia soko mbadala. So sad.!

Na hiki ndicho kilichotokea pia kwenye mbaazi. Wakati Manji ananunua mbaazi TZS 3,000/= kwa kilo serikali ikaanza kumsumbua. Watu wakasema Manji akisumbuliwa mbaazi zitakosa soko. Serikali ikajibu kwa kiburi kwamba asiponunua wao watanunua.

Lakini Manji alipoacha kununua mbaazi zilipoteza soko hadi 150/= kwa kilo kutoka 3,000/=. Serikali ileile iliyodai itanunua ikawaambia watu wale mbaazi kwa wingi maana zinaongeza protini. Hivi mtu ana gunia 200 anakulaje zote? Non sense.!

Kwenye mahindi tulikua tunaelekea hukohuko. Tulijisifu tutauzia Rwanda, Burundi, Somalia na Sudani lakini zaidi ya miezi miwili sasa tumeshindwa kuuza hata hapo Kibaha maili moja. Porojo za MATAGA kwamba wakenya wananunua mahindi kwetu halafu wanayauza Sudani, mbona sisi tumeshindwa kuuza huko Sudani?

Wenye akili walishauri tukae mezani tuyajenge. Vita ya kiuchumi "husoviwa" kidiplomasia sio kijeshi. Lakini mwendazake akagoma. Alishika nyundo na kuamini kila tatizo ni msumari, kwahiyo akawa anagonga tu.

Mama amefanya kile ambacho wenye akili walimshauri mwendazake lakini akawaita vibaraka. Mama amekaa na Uhuru wamezungumza yameisha. Leo Rais Uhuru karuhusu mahindi kutoka TZ yaendelee kuingia Kenya. Hakuna cha "mycotoxins" wala nini. Hii ni habari njema kwa wafanyabiashara wa mahindi pale Kibaigwa, hadi wakulima wa kule Peramiho.

Pia ni habari njema kwa taifa kwa sababu Kenya wametusafisha. Dunia imegundua kumbe mahindi yetu hayakua na sumu (mycotoxins) kama Wakenya walivyodai bali ilikua vita vya kiuchumi tu.

Wakenya wakiendelea kununua mahindi yetu hata nchi nyingine zitanunua kwa sababu sasa zimejiridhisha kwamba mahindi yetu hayana sumu. Aliyetoa tuhuma ndiye huyohuyo amesema yaingizwe nchini kwake waendelee kuyala. Yangekua na sumu asingeruhusu yaingizwe.

Hii ndio nguvu ya diplomasia. Mnakaa mezani kuzungumza halafu mshindani wako anajimaliza mwenyewe. Tulitumia nguvu nyingi kujisafisha kimataifa kwamba mahindi yetu hayana sumu lakini hakuna aliyetuamini. Leo mama kakaa na Uhuru masaa machache tu, kisha akampa kamba ajimalize mwenyewe. Uhuru akatusafisha, sasa tumeng'aa. Tunaweza kuuza mahindi yetu hata Marekani .

Uhuru na Mama Samia wameruhusu pia mtu akishapimwa Covid upande mmoja akaonekana ni negative, basi akiingia upande wa pili asipimwe tena. Unakumbuka Wakenya walianza figisu. Madereva wetu wa malori, walipopimwa wakawa negative, walipoingia Kenya walipimwa tena na kukutwa positive. Ikaleta taharuki.

Mwendazake akaona dawa ni kuapply jino kwa jino. Madereva wao walipokuja na vyeti vya negative tukawapima tena na wakawa positive. Yani ushindani wa kitoto kabisa.

Watu wakashauri Bwana Kabudi akae mezani na mwenzake wa Kenya wayazungumze. Lakini akakodoa macho kwa tashwishwi na kusema hatutishwi na mataifa yanayotumiwa na mabeberu.

Leo mama na Uhuru wameamua kumaliza hizo drama za kitoto. Hakuna haja ya kuishi kwa kuviziana wakati sisi ni ndugu. Wamekubaliana dereva akipimwa TZ akiingia Kenya asipimwe tena, na akipimwa Kenya akiingia TZ asipimwe tena. Hii ndio maana ya ujirani mwema. Kuishi kwa kuaminiana bila speculations.

Asante mama Samia, Asante Uhuru. Demokrasia imekutana na demokrasia.!

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Ni kweli tupu. Mambo mengine ukitafakari, unashindwa kuelewa. Issue ya korosho!
 
Lakini Mama anasema Yeye na JPM ni kitu kimoja, hawatenganishwi.
Mimi namuelewa, anatumia lugha ya kidiplomasia kusawazisha mambo, kuna Make Tanzania Great Again, hawa bila kuwa win itakuaje? Mama yuko smart, sera zake ziko balanced, hazifanani na za mzee.
 
Exposure ya UNFPA inambeba
 
Agreed
 
usiwe munafiki mama hajafanya kitu chochote hacheni kuwa wanafiki mama hajafanya chochote mupaka mudaaa huu kazi kuzulula tuuh anafuata oda za JK .... THINK Big usiwe unafuata mkumbo angalia mambo kwa jicho la tatu utaona mengi Its just a matter of time.... mama hana maajabu acha kumusifia kinafiki ndungu yangu ....
Tu think big kwa upuuzi ulio Andika hapa ....

Acha Umataga ww ....
 
usiwe munafiki mama hajafanya kitu chochote hacheni kuwa wanafiki mama hajafanya chochote mupaka mudaaa huu kazi kuzulula tuuh anafuata oda za JK .... THINK Big usiwe unafuata mkumbo angalia mambo kwa jicho la tatu utaona mengi Its just a matter of time.... mama hana maajabu acha kumusifia kinafiki ndungu yangu ....
Masalia ya mapumbavu ya roho mbaya, chuki, wivu , visasi...acheni hizo hata shetani wenu katupwa kuzimu sembuse nyie malaika zake?
 
Back
Top Bottom