Averos
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 993
- 695
SN | CUF | CHADEMA |
1 | Walisema ni cha kiislamu | Kinaambiwa cha wakristo |
2 | Waliwahi kutoka bungeni | Wamewahi pia |
3 | Waliwahi kuandamana sana | Maandamano kila siku |
4 | Waliwahi kupata kipigo sana | Kipigo wamepata |
5 | Waliwahi kuuliwa na polisi | Hawa nao walishapata kuuliwa |
6 | Waliwahi kutomtambua raisi | Hawa nao waliwahi pia |
7 | Waliwahi kuongoza kambi ya upinzani bungeni | Hawa wanaongoza sasa |