Tofauti ya banking and insurance na financial service nda system ?

MWASHITA

New Member
Dec 21, 2013
1
0
​Naomba msaada kwa wasomi wa finance mimi nasoma business administration kuna option imekuja ya kuchagua course na nimechagua finance as a major course na minor course nimepewa option mbili nazo ni banking and insurance na financial services na system. Kwanza naomba nisaidie hizi zinautofautiana kivipi na ipi ni mzuri kwa soko la ajira kwa sasa.​
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,992
2,000
Unasoma BBA ili iweje?ungesoma ualimu ndo kimbilio la maskini..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom