Tofauti ya Alphard V na Alphard G

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
990
1,040
Wakuu habari..

Nahitaji mwenye uzoefu wa hizi gari tajwa hapo juu. Naona zina matoleo ya Alphard V na Alphard G.

Nahitaji kujua tofauti yake ni nini na ipi ni bora zaidi ya nyingine.
 
Alphard V
images (2).jpeg




Alphard G
images (3).jpeg

Mbona tofauti ya Body siioni?
 
Wakuu habari..

Nahitaji mwenye uzoefu wa hizi gari tajwa hapo juu. Naona zina matoleo ya Alphard V na Alphard G.

Nahitaji kujua tofauti yake ni nini na ipi ni bora zaidi ya nyingine.
Bin Chuma75 G na V Alphard kwenye engine zinafanana, ni sawa sawa na engine ya rolls royce kwenye boeing na Airbus. Kilichopo ni kwamba assembler wa G na V ni tofauti ila mtengeneza engine ni mmoja na wote wanamtumikia bwana mmoja. V naona muundo wake unahimili mazingira ya kibongo bongo. Chukua V iwe 4 cylinder, inatumia mafuta kidogo sana, ila ukichukua 6 cylinder utajilaumu.
 
Tofauti zipo kadhaa
V inagrili ya mbele yenye mistari mitano na logo imeshikwa na grili ya kwanza na yapili
G ina grill yenye mistari mitatu na logo imeshikwa na grill moja ya juu
Mbili alphard G inatolewa na agent aneitwa Netz na G agent anaezalisha anaitwa Toyopet
Alphard V yamwisho ilitoka kiwandani mwaka 2008 baada ya hapo Netz hawakuona umuhimu wa kuendelea na hii twins wakabadili complete design na jina wakaiita Verfire
Swala la engine zipo mbili ya 2az na mz hizi engine sio ngeni kabisa
2az engine ipo kwenye
Alphard
Rav4 miss tz
Harrier tako la nyani
Verfire
Kluger
Estima
Toyota blade
Toyota Camry
Ipsum new model
Hapo utaona jinsi ilivyo aminiwa hiyo engine tatizo 2az kwenye alphard nikama inazidiwa especially first vasion 2002 to 2005 nati NNE za ndani kati ya c.head na block ziliwekewa threads chache hivyo zimekuwa zikiachia na kusababisha gari kuchemsha
Nakaribisha maswali kuhusiana na hii mada
Alphard v,G and alphard hybrid
View attachment 1932365
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom