technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,841
2015 Wapinzani walikuwa na mgombea dhaifu na goigoi ambaye alikuwa hana uwezo wa kuongea kwenye mkutano hata dakika10 wakati leo Lissu anaweza kuongea hata masaa 2 bila audience kumchoka na wakati huo akishangiliwa mwanzo mwisho.
2015 Wanaharakati Mtaani, Facebook, Instagram, Jamii forum, na Twitter waligawanyika na Kugoma kumsaport Lowassa ila mwaka huu ni tofauti inaonekana Wanaharakati wote wameungana na wapo pamoja na Tundu Lissu.
2015 mgombea wa upinzani alifikia sehemu kuwanadi wagombea wa CCM kwa kutamka hadharani CCM oye! Mbele ya wafuasi wa upinzani ila leo Lissu huwezi kumsikia akifanya makosa ya kiufundi Kama Yale.
2015 mgombea wa upinzani aliwaambia watu wapige kura na kumuachia yeye Cha kufanya kitu ambacho kilisababisha wizi mkubwa wa kura na badae akaja kusema tumuachie Mungu ila My friend mwaka huu Lissu anawaambia uwazi na ukweli CCM hawatakiwi kuachwa hata sekunde moja kwenye uchaguzi huu anawaambia wazi kwamba kura zitalindwa na sisi wapiga kura mpaka pale matokeo yatakapo tangazwa.
2015 upinzani ulijaa makapi kibao ambayo yalijuwa mzigo kea upinzani ila mwaka huu upinzani una watu pure na wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja.
Kwahiyo huu ni uchaguzi tofauti na mgumu kuwai kutokea katika historia ya taifa ili wanaojipa moyo kwamba uchaguzi ni mwepesi poleni Sana Lissu atawashangaza.