EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,524
ongeza SECRET SERVICE, DEA, CTU nkWajuzi wa mambo naomba kujua utofauti wa majukumu kati ya idara hizo za kiusalama nchini marekani
ongeza SECRET SERVICE, DEA, CTU nkWajuzi wa mambo naomba kujua utofauti wa majukumu kati ya idara hizo za kiusalama nchini marekani
Nachangayikiwa pale wanapotumwa FBI kwenye nchi kupeleleza kitu fulani mfano walipo zichukua zile mask ambazo zilikuwa zinatumwa huku Afrika kwajili ya msaada walisema wamegundua zilikuwa zina virusi vya covid! Kwann wasingewatuma CIA wafanye hiyo kazi?FBI (Federal Bureau Investigation) ni Idara ya usalama ndani ya Taifa la Marekani.
Hii ufanya kazi zake za ujasusi na upelelezi wa matukio yoyote Yale ndani ya Taifa.
CIA (Central Intelligence Agency) ni Idara ya usalama nje ya Taifa la Marekani.
Wao huwa wanaratibu machafuko na figisu zozote kwa ajli ya interest za nje za Taifa Lao.
NSA (National security Agency) hii Sasa ndiyo TISS ya kwao.
Ni Idara ya usalama wa Taifa la Marekani iwe nje au ndani
Ufafanuzi kidogo kwa NSAFBI-criminal investigation.
CIA-foreign intelligence.
NSA-National Security Agency(SIGINT,ELINT ,cyber intelligence)
Mkuu Tofauti ni kwamba FBI ni investigators (Mpelelezi)Nachangayikiwa pale wanapotumwa FBI kwenye nchi kupeleleza kitu fulani mfano walipo zichukua zile mask ambazo zilikuwa zinatumwa huku Afrika kwajili ya msaada walisema wamegundua zilikuwa zina virusi vya covid! Kwann wasingewatuma CIA wafanye hiyo kazi?
Hapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?CIACIA kirefu chake ni Central Intelligence Agency, FBI ni Federal Bureau of investigation.
Ipo tofauti ya investigator { mpelelezi) na Itelligence office.
Kazi hizo kwa haraka haraka unaweza kuziona kama zinafanana. Lakini majukumu yanatofautiana.
Kazi za upelelezi mara nyingi unapeleleza tukio, mtuwa intellejensiaanatakiwa kuzuia kabla tukio halijafanyika. Ndo maana mpelelexi na mwanaintelejensia kazi zao zinatofautiana.
Mpelelezi anajitambulisha kwako anapo peleleza afisa wa intelejensia anafanya kazi zake hata bila wewe kujua kuwa kuna ishu anafuatilia hapa mnawaita (mashushushu).
Nimekupata sasa.Mkuu Tofauti ni kwamba FBI ni investigators (Mpelelezi)
ongeza SECRET SERVICE, DEA, CTU nk
Ufafanuzi kidogo mkuuHizo ulizozitaja hapo ni vikosi maalumu ndani ya Idara Tofauti.
Mf Tanzania
Kuna jeshi la polisi lakini ndani ya polisi Kuna vikosi maalumu Kama FFU etc.
Magereza wana KM etc
Secret service ni kikosi maalumu kilicho Chini ya Idara zao.
Ufafanuzi kidogo mkuu
Secret service iko wizara ya fedhaHizo ulizozitaja hapo ni vikosi maalumu ndani ya Idara Tofauti.
Mf Tanzania
Kuna jeshi la polisi lakini ndani ya polisi Kuna vikosi maalumu Kama FFU etc.
Magereza wana KM etc
Secret service ni kikosi maalumu kilicho Chini ya Idara zao.
Uelewe tu Ni marufuku CIA kuoperate ndani ya US,,na akikamatwa anawekwa lokapuHapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?
NSA wanahusika na usalama wa taifa la marekani,,lakini wanamaintain physical presence globoly.Ufafanuzi kidogo kwa NSA
Tumekupata mkuuCIA Central Intelligence Agency
CIA ndio taasisi namba mbili duniani ya Intelligence Agency kwa ubora baada ya inter - service intelligence (ISI) ya Pakistan ikiwa na wafanyakazi wanaokadiliwa 21,642 duniani kumbuka mambo ya ujasusi ni siri so kuna watu wengine ni undercover agents so inakuwa ni ngumu kwa nchi kusema ina wafanyakazi wangapi ktk idara fulani CIA ilianziswa mwaka 1947 na makao yake makuu yakiwa Langley, Virginia, U.S. na kazi yao ni (CP) collecting na processing information so ukiangalia NSA na CIA wamezidiana vitu viliwi ambavyo ni Monitoring , Data kwani CIA yy anacollect na kuprocess information tu...
Wanafanya ulinzi wa nchi ni ndani na hata nje ya mipaka.Hapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?
CIA anahusika na threats za usalama wa taifa zinazo originate kutoka nje ya mipaka wakati FBI wanadeal na threats za ndani. Inapotokea kwamba tatizo limeanzia nje ila likaja kuathiri ndani CIA atashughulika nalo likiwa nje ya mipaka linapoingia Washngton wanakabidhi mikoba kwa FBI.Hapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?
CIA huhusika kwa issue za usalama wa marekani na wamarekani nje ya mipaka ya USA, FBI ni ndani ya nchi pekeeNaona Uzi umekosa wachangiaje full manyotanyota