Tofauti na Kahama, Njombe na Katoro, miji ipi inayokua kwa kasi?

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
583
1,266
Kwa kipindi cha miaka ya karibuni tumeona mabadririko ya kasi katika nyanja za fursa, uchumi na population katika miji tajwa hapo.

Ila Tanzania ni kubwa, natumaini kuna miji mingine inayokuwa au imeanza kukuwa kwa kasi katika nyanja za fursa, miundombinu, uchumi, biashara na ongezeko la watu.

Sio vibaya kama tukiijua hapa.

Karibuni.
 
Miji ni mingi Sana inakua ndugu ,Tzn hii ni kubwa wewe safiri utaona ..mfano Tunduma,Mafinga,nk nk
 
Na ili kuitambua vizuri hii miji tembelea Kanda zote Tanzania ndo utaelewa ila Kuna miji Ina kuja kasi zaidi ya hata makao makuu ya mikoa yao mfano kahama ,tunduma ,katoro,makambako ,mafinga ,na masasi hi miji ipo Moto sana unaweza ukasema ndo makao makuu ya mkoa husika kumbe sio ni shuguli tu za uchumi na position ilipo ndo Ina mwingiliano mkubwa wa watu na ujenzi upo speed sana kuliko miji ya makao makuu ya mikoa yao na Kuna makao makuu ya mikoa mingi imepitwa na hii miji kwa ukuaji alafu Hadi unashangaa miji mingine inaomba kuwa jiji Yani ukijaribu ku compare na hii miji unaona Bado ipo mbali sana ila tunduma ndo Ina ufinyu wa eneo kuliko miji mingine niliyo itaja
 
Back
Top Bottom