Tofauti (kubwa) Muzungu Mwanaume na Tanzania, India & Co. !

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Nchi Kizungu ( Kimagharibi) ikitokea binti/Mwanamke akabakwa, basi Jamii ya Wanaume wakristo huwa upande wa binti kumtetea na kusurubu wabakaji, kwetu Wanaume humshambulia aliyebakwa ( kama siyo binti yake of course) kwamba huyo binti ni Malaya na alistahili, hata Mimba Mwanaume mkristo Muzungu anaona ni jukumu la aliyempa mimba wakati kwetu mtoto wa kike anashambuliwa, aliyempa mimba anaitwa rijali, ...
 
Na hii itasiaidia kuongeza Viwanda vifike 5000?
 
Baba yako amekukataa au mwanaume amekutelekeza!! >45% ya watoto Tz wanalelewa na ambao si baba zao kinasaba.
 
Subirini mwanaume wa mikoani(Makonda) awaanzishie kanzi-data wanaume wa Dar waliooa.
 
Huko Tanganyika hata bazazi linalowafira watoto wadogo linaitwa rijali. Ni kama sifa au utukufu fulani hivi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom