Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,376
Tofauti kubwa kati ya masikini na matajiri ni mtizamo na namna wanavyoyaona mambo.
Masikini anaogopa kila kitu, tajiri haogopi kitu, ni risk taker.
Masikini anaogopa kila kitu, tajiri haogopi kitu, ni risk taker.
Kama leo hii zikikusanywa fedha zote na kisha kila mmoja wetu akagawiwa kiasi cha fedha sawa na watu wengine, yaani wote tugawiwe kiasi sawa cha fedha,basi wale wote waliokua matajiri watarudia utajiri waliokua nao mwanzo,na waliokua masikini wataurudia wmasikini wao! (Japo inaweza ikawa sio wote)