Tofauti kati ya Wakenya na Watanzania

shirika la ndege la kenya mwezi uliopita lilitangaza kuwa halina kitu na limefirisika madaktari kugoma kenya wauguzi kugoma kenya ila hamyasemi hayo weka ushahidi mezani ndo tuendelee:twitch:
 
Kenya haina kampuni asili ya kutengeneza dawa ya meno(toothpaste) zote ni za kigeni aswa kutoka uingereza. Lakini kampuni ya chemicotex ya tanzania ambayo inatengeneza dawa ya whitedent inauza uko kenya sana kwa ivyo hao wana lifahamu soko la kenya vizuri na wanapata faida. Kwa ivyo kampuni za tz zaweza faulu sana kenya. Pia konyagi ya TBL inauzwa sana kenya ata kuliko za kenya zenyewe. Kwa ivyo ni ujuzi tu wa biashara. Kampuni za tz mimi uwa naona nyingi zina uoga wa kushindana uko kenya but wakiamua watafaulu
Konyagi ya TBL?
 
Sikubaliani na wewe, konyangi inauzwa kidogo sana huko kenya. Utakuta duka kama Nakumatt wana chupa kumi tu za konyangi. Mbona husemi kuhusu maziwa ya kenya yaliyojaa hapo Tanzania lakini hakuna hata kopo moja la maziwa ya Tanga Fresh huko Kenya, au Uganda, au Rwanda?

Nchi bila viwanda ni sawa ni kilimo cha jembe la mkono hufiki ko kote.
 
Sawana mi na fahamu vizuri nacho sema. Hakuna mnywaji pombe utupa muda kwenda nakumatt kununua pombe. Ingia kwa mabar na vilabu vya Nairobi utashangaa kinywaji ni konyagi mitaani.
 
Wakenya wanacheza smart games na Watanzania bado tumelala..

After Precision Airlines (PA) kuwa threat kwa operation za Kenya Airways (KQ) route za Tanzania na Kenya, KQ wakaingia ubia na PA very smartly na wakawa wanaihujumu undercover. Leo hii PA iko hoi na tayari Operations za Jomo Kenyatta-KIA, Jomo Kenyatta-Mwl. Nyerere zimerudi kwa KQ...

Pili, baada ya TBL kuruhusiwa kuuza bia Kenya, na Kenya walete bia zao Tanzania. TBL wakakaribia kuuwa bia za Wakenya huko kwao wakati huo bia yao TUSKER ikawa haifanyi vizuri hapa Tanzania. Wakavunja makubaliano, ili kila mtu afanye biashara yake kwake. After years EABL ya Kenya ikaingia ubia na SBL na wakaipa License ya kuzalisha na kusambaza TUSKER hapa nchini.. Smartly EABL wanauza hapa kwetu wakati sisi TBL haiuzi kule kwao..

Wakati hayo yote yanafanyika Watanzania tunalazwa na fikra za kijinga za viongozi wetu wa CCM.. Education Matters alot

2004 Tanzania tulikuwa na Ndege mbili za serikali (Air Tanzania) na Kenya walikuwa na Ndege 19 (Kenya Airways-KQ)..
2015 Tanzania tuna Ndege 1 ya kukodi kwa ajili ya kupigia Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kenya wana Ndege 47 zinazotua katika viwanja 62 vya mabara yote duniani...

Tukumbuke bila kuwa na Shirika letu la Ndege Utalii tunaongelea ni kazi bure..

Kenya taratibu inautawala Uchumi wa Tanzania, tayari wana Bank mbili zinazofanya kazi nchini (KCB and Equity Bank), Tanzania bado hatuna Bank yeyote Kenya.

Supermarkets za Kenya tayari zimeingia nchini na kuuwa zetu (Nakumat tayari imeshainunua Shoprite (T), UCHUMI Supermarkets).. Sisi Imalaseko Supermarkets zilishakufa kule Kenya.

Soko la Hisa Dar Es Salaam (DSE) lina Jumla ya Kampuni 21, kati ya hizo Kampuni 7 ni za Kikenya lakini Soko la Hisa la Nairobi (NSE) lina zaidi ya Kampuni 64 na hakuna kampuni hata moja ya Kitanzania.. Hii ni mbaya sana kiuchumi..

Serengeti National Parks ni mbuga bora iliyoshika namba moja kwa Afrika, na Ngorongoro ikiwa namba 5.. Masai Mara ya Kenya ni namba 8. Lakini pia Tanzania tuna Mlima Mrefu zaidi Afrika Mlima Kilimanjaro ambao pia ni kivutia kikubwa cha Utalii..

Lakini maajabu ni kwamba Kenya wanakusanya pato kubwa sana kwenye Utalii kuliko Tanzania. Mwaka 2013 pamoja na matukio ya kigaidi Kenya ilitembelewa na watalii million 1.4 wakati Tanzania yenye amani tele ilitembelewa na watalii million 1.04.. Amani wanayoihubiri CCM na vivutio vyetu vya Utalii bado havijatufaidisha chochote..

Pato la Mtanzania kwa mwaka ni Tshs. 1,996,000 na Pato la Mkenya kwa mwaka ni Tshs. 3,176,000..
Pato la nchi (Tanzania) ni Tshs. Trillion 98.36 na Pato la nchi kwa Kenya ni Tshs. Trillion 140..

Tanzania kuna madini ya kila aina, Tanzanite, Dhahabu, Rubi, Uranium, Makaa ya Mawe, Chuma, Kenya hawana madini ya aina yeyote lakini bado wametuzidi pakubwa kwenye pato la Taifa.. Sekta ya madini inachangia 3.3% kwenye pato la taifa kutokana na mikataba mibovu uliyowekwa na viongozi wa CCM..

Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kilikuwa kinazalisha TYRE bora kabisa za kazi. Kilikuwa na Soko kubwa Afrika Mashariki na kati. Gari zote za Tours zinazotembea porini Afrika Mashariki yote na Afrika ya Kati zilikuwa zinafunga TYRE ya GENERAL. Hata wale wapigana vita za msituni huko Kongo na Sudan walikuwa hawaendi kupambana bila kuhakikisha Land Rover yake imefungwa Tyre ya General. Magari ya serikali yote yalikuwa yanafunga Tyre ya General..

Kiwanda kilikuwa kinalipa kodi isiyopungua Billion 100 kila mwaka.. CCM wakafanya hujuma kukiua, zinatolewa subsidy zinaishia kwenye matumbo yao. Wakenya walivyosmart wakaiba ile Technology ya Tyre za General wakafungua kiwanda chao huko kwao kikaitwa YANA Tyre ambaye sasa ndiye Supplier mkubwa wa Tyre Afrika Mashariki na Kati..

Kampeni zinaanza wamejifanya kuifufua General Tyre, Je, wataweza kupambana na Yana Tyres?? Kenyans are always SMART kuliko akili za CCM

CCM wanasema hapa ni Kazi tu.. hahaha

Nawachukia CCM sana kwa kutusababishia umasikini huu tulionao.
nilishahapa nitawapiga vita wanaCCM popote watakapo kwenda
ndio maana mimi ni mwanaukawa ambae Lowassa hatapata kura yangu
 
umeeleza vizuri mwanzo mwishoni ukaingiza uwongo, kwanza yana tyres ni brand name kampuni inayotengeneza inaitwa sameer, sameer walinunua kiwanda kutoka Firestone kiwanda hicho kilijengwa 1969 na general tyre 1971.firestone ni moja ya mkampuni kongwe kwenye tyres na imeanza marekani 1900,hakuna hata siku moja general tyres ilikuwa bora kitekiologia juu ya Firestone, ila ninavyo elewa Tanzania enzi za mwalimu ilukuwa marufuku kuagiza kitu chochote bila kibali na hivyo wauza tyre nchi nzima ilikuwa general tyre, baada ya kuruhusiwa uagizaji wa matairi nje general tyre wakashindwa katika soko huria kwa sababu nyingi tu.lakini hakuna teknolojia Firestone inaweza kupata kutoka kwetu kwani hamna mahali general tyre ilikuwa inafanya utafiti wa kuongeza ubora wa Tyre wakati Firestone,Michelin, pirelli n.k wanazo.
 
Kulinganisha uchumi wa Kenya na Tanzania ni sawa na kulinganisha kitambi na Mimba, TANZANIA TUMELALA FOFOFO,halafu eti tuwachague tena CCM? hapana aisee...KURA NI KWA LOWASA NA WAGOMBEA WA UKAWA.
 
Wakenya wanacheza smart games na Watanzania bado tumelala..

After Precision Airlines (PA) kuwa threat kwa operation za Kenya Airways (KQ) route za Tanzania na Kenya, KQ wakaingia ubia na PA very smartly na wakawa wanaihujumu undercover. Leo hii PA iko hoi na tayari Operations za Jomo Kenyatta-KIA, Jomo Kenyatta-Mwl. Nyerere zimerudi kwa KQ...

Pili, baada ya TBL kuruhusiwa kuuza bia Kenya, na Kenya walete bia zao Tanzania. TBL wakakaribia kuuwa bia za Wakenya huko kwao wakati huo bia yao TUSKER ikawa haifanyi vizuri hapa Tanzania. Wakavunja makubaliano, ili kila mtu afanye biashara yake kwake. After years EABL ya Kenya ikaingia ubia na SBL na wakaipa License ya kuzalisha na kusambaza TUSKER hapa nchini.. Smartly EABL wanauza hapa kwetu wakati sisi TBL haiuzi kule kwao..

Wakati hayo yote yanafanyika Watanzania tunalazwa na fikra za kijinga za viongozi wetu wa CCM.. Education Matters alot

2004 Tanzania tulikuwa na Ndege mbili za serikali (Air Tanzania) na Kenya walikuwa na Ndege 19 (Kenya Airways-KQ)..
2015 Tanzania tuna Ndege 1 ya kukodi kwa ajili ya kupigia Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kenya wana Ndege 47 zinazotua katika viwanja 62 vya mabara yote duniani...

Tukumbuke bila kuwa na Shirika letu la Ndege Utalii tunaongelea ni kazi bure..

Kenya taratibu inautawala Uchumi wa Tanzania, tayari wana Bank mbili zinazofanya kazi nchini (KCB and Equity Bank), Tanzania bado hatuna Bank yeyote Kenya.

Supermarkets za Kenya tayari zimeingia nchini na kuuwa zetu (Nakumat tayari imeshainunua Shoprite (T), UCHUMI Supermarkets).. Sisi Imalaseko Supermarkets zilishakufa kule Kenya.

Soko la Hisa Dar Es Salaam (DSE) lina Jumla ya Kampuni 21, kati ya hizo Kampuni 7 ni za Kikenya lakini Soko la Hisa la Nairobi (NSE) lina zaidi ya Kampuni 64 na hakuna kampuni hata moja ya Kitanzania.. Hii ni mbaya sana kiuchumi..

Serengeti National Parks ni mbuga bora iliyoshika namba moja kwa Afrika, na Ngorongoro ikiwa namba 5.. Masai Mara ya Kenya ni namba 8. Lakini pia Tanzania tuna Mlima Mrefu zaidi Afrika Mlima Kilimanjaro ambao pia ni kivutia kikubwa cha Utalii..

Lakini maajabu ni kwamba Kenya wanakusanya pato kubwa sana kwenye Utalii kuliko Tanzania. Mwaka 2013 pamoja na matukio ya kigaidi Kenya ilitembelewa na watalii million 1.4 wakati Tanzania yenye amani tele ilitembelewa na watalii million 1.04.. Amani wanayoihubiri CCM na vivutio vyetu vya Utalii bado havijatufaidisha chochote..

Pato la Mtanzania kwa mwaka ni Tshs. 1,996,000 na Pato la Mkenya kwa mwaka ni Tshs. 3,176,000..
Pato la nchi (Tanzania) ni Tshs. Trillion 98.36 na Pato la nchi kwa Kenya ni Tshs. Trillion 140..

Tanzania kuna madini ya kila aina, Tanzanite, Dhahabu, Rubi, Uranium, Makaa ya Mawe, Chuma, Kenya hawana madini ya aina yeyote lakini bado wametuzidi pakubwa kwenye pato la Taifa.. Sekta ya madini inachangia 3.3% kwenye pato la taifa kutokana na mikataba mibovu uliyowekwa na viongozi wa CCM..

Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kilikuwa kinazalisha TYRE bora kabisa za kazi. Kilikuwa na Soko kubwa Afrika Mashariki na kati. Gari zote za Tours zinazotembea porini Afrika Mashariki yote na Afrika ya Kati zilikuwa zinafunga TYRE ya GENERAL. Hata wale wapigana vita za msituni huko Kongo na Sudan walikuwa hawaendi kupambana bila kuhakikisha Land Rover yake imefungwa Tyre ya General. Magari ya serikali yote yalikuwa yanafunga Tyre ya General..

Kiwanda kilikuwa kinalipa kodi isiyopungua Billion 100 kila mwaka.. CCM wakafanya hujuma kukiua, zinatolewa subsidy zinaishia kwenye matumbo yao. Wakenya walivyosmart wakaiba ile Technology ya Tyre za General wakafungua kiwanda chao huko kwao kikaitwa YANA Tyre ambaye sasa ndiye Supplier mkubwa wa Tyre Afrika Mashariki na Kati..

Kampeni zinaanza wamejifanya kuifufua General Tyre, Je, wataweza kupambana na Yana Tyres?? Kenyans are always SMART kuliko akili za CCM

CCM wanasema hapa ni Kazi tu.. hahaha

Baada ya kusoma ujumbe huu, nimesikia kitu kimenibana kifuani.
 
Huu ni ukweli mchungu kwetu watanzania.Ina maana Tanzania ya mwalimu nyerere ina nafuu kuliko Tanzania ya leo?? Ni ubinafsi gani huu wa hawa viongozi wetu wa ccm? Ina maana wao hawayajui haya? Ni lini tutampata mtu mwenye nia ya bkweli jamani?? Ninaumia sana moyoni mwangu.

Halafu bado kuna watoto wa viongozi wana makampuni mpaka nchi za nje.
 
Kenya haina kampuni asili ya kutengeneza dawa ya meno(toothpaste) zote ni za kigeni aswa kutoka uingereza. Lakini kampuni ya chemicotex ya tanzania ambayo inatengeneza dawa ya whitedent inauza uko kenya sana kwa ivyo hao wana lifahamu soko la kenya vizuri na wanapata faida. Kwa ivyo kampuni za tz zaweza faulu sana kenya. Pia konyagi ya TBL inauzwa sana kenya ata kuliko za kenya zenyewe. Kwa ivyo ni ujuzi tu wa biashara. Kampuni za tz mimi uwa naona nyingi zina uoga wa kushindana uko kenya but wakiamua watafaulu

Mkuu hata usitupe moyo...ukweli unauma siku zote,ukweli ni kwamba KENYA wapo serious sana kwenye mikataba na biashara kwa ujumla,Tanzania chini ya CCM sasa wamebakia kwenye mipasho,dhulma na ufisadi wa mali za umma. Wataishia kwenye taarab na kuandaa vigodoro tu sasa.
 
Siku hizi ukienda kwenye maduka ya vyakula yaan bidhaa nying za ubora ni kutoka kenya..

Kenya wanakuja Tz wananunua mazao kwa bei ndogo tu halafu wanaenda kuprocess kwao na kuja tena kutuuzia kwa bei inayowapa faida wao. Sijui aliyetuloga nani.
 
..kabla hatujaanza kubishana kuhusu mauzo ya konyagi, hebu tujiulize DHAHABU na TANZANITE zimekwenda wapi?

..kuna migodi ya dhahabu inafungwa sasa hivi kwa maana kwamba dhahabu imekwisha. sasa kwa uelewa wangu hakuna Mkenya aliyekuwa akichimba huko, na ni serikali yetu ya CCM ndiyo iliyosaini mikataba ya uchimbaji dhahabu.

..mgodi wa Nzega unafungwa karibuni au labda tayari umeshafungwa, na wananchi wa Nzega wameambulia kifuta machozi cha USD 1 million ambacho walikipata baada ya kutishia kuandamana na kuleta uharibifu.

..mapato toka kwenye dhahabu, almasi, na tanzanite yetu, ndiyo yalipaswa kwenda kusaidia kufufua viwanda, mashule, mahospitali, etc etc.

cc Nairoberry, Katufu, Sawana
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kabisa kuikataa east africa ili kuokoa uchumi wetu. Kenya ni watu wabaya sana
 
Back
Top Bottom