nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 130
Ndugu wanajamvi nachukua fursa hii kumshukuru MUNGU kwa neema na rehema zake kwetu.
Leo napenda kutoa tofauti kubwa moja inayojidhihirisha kati ya wabunge wa pande hizi mbili.
Naanza na wabunge wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla wake,
Wabunge hawa wamejipambanua zaidi katika kutetea na kuhoji maslahi ya kitaifa,,hii ni kwa sababu ya upeo na kampani waliyonayo.Mfano huwezi kukaa na John Mnyika au Tundu Lissu ukakosa kushindwa kujenga hoja.
Sijui kama kuna mafunzo wanayopewa yanayowajengea uwezo zaidi wa kuongea.
wabunge wa CCM wao wamejikita katika mambo ya kawaida yasiokuwa ya kitaifa.Mfano mbunge anaongelea swala la friji eti ni kigezo cha maendeleo.
Wabunge wengi wa CCM licha ya kutokuwa na elimu pia hawana social exposure ya kuweza kudadavua mambo.
Huwezi kuwa mbunge ukashindwa kujenga hoja kwa mambo ya kitaifa badala yake uongelee masuala ya kijimbo tu.Ndio maana inakuwa vigumu sana kuwaelewa wabunge wa upinzani wanapotoka nje, wanatetea masuala ya msingi ya kitaifa.
Sasa mtu unataka Mnyika na uelewa wake apongezee serikali kwa kuleta maendeleo Ubungo yenye gharama ya tsh milion mia wakati huo huo kuna zaidi ya tsh billioni kumi zmeibwa.
Huu ni upuuzi usiokuwa upuuzi mtupu.