Tofauti kati ya UJINGA na UPUMBAVU

Simon Henry

Simon Henry

Member
Joined
May 16, 2019
Messages
14
Points
45
Simon Henry

Simon Henry

Member
Joined May 16, 2019
14 45
Mtu mjinga ni yule ambae amekoswa maarifa kuhusu jambo ,neno au tendo fulani .
Lakini mtuhuyu anaweza kufundishwa na akaelewa na hata kubadilika

Lakini mtu mpumbavu ni yule ambae hajui kama hajui wala hataki kujua wala kuelewa kwamba hajui kwahio hawezi badilika hata kama akiipata elimu hio

Comment 👇 kama unalolote la kuongezea
 
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
738
Points
1,000
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
738 1,000
mjinga hajijui na pili mtu hanae mfahamu mjinga nina wasiwasi nae
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,582
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,582 2,000
Alisha sema hapangiwi....
 

Forum statistics

Threads 1,315,675
Members 505,292
Posts 31,866,470
Top