tofauti kati ya tutorial assistant na assistant lecturer ni zipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tofauti kati ya tutorial assistant na assistant lecturer ni zipi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BOFREE, Sep 21, 2012.

 1. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  naomba mnijuze wa jf
   
 2. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Unajua dogo katica academics kuna vyeo na level kulingana na taaluma na mtiririko kuanzia cheo kikubwa hadi kidogo ni huu hapa: PROFESSORS-ASSOCIATE PROFESSORS- SENIOR LECTURES(DK'S)- ASSISTANCE SENIOR LECTURES(DK'S)- LECTURES(DKS NA MASTERS)- TUTORIAL ASSISTANCE- tutor(cheo chamwisho na kidogo kabisa, kwa yoyote alye na 1st degree)
   
Loading...