Tofauti kati ya tabia za maskini na tajiri

Alafu kuna watu wana roho za umasikini tu,hata afanye kazi 24 hrs anatoka bilabila.
Alafu kuna wenye neema zao mambo yanafunguka kila kukicha,hatumii nguvu wala muda mwingi kila anachofanya mambo mukide.
Kweli aisee hiyo ipo
 
Kufanya kazi mda mwingi au mfupi hakukufanyi kuwa masikini au tajiri.
Mlinzi, konda, dereva wanafanya Kazi mda mrefu kuliko tajiri na still ni masikini.
Nadharia ya utajiri na umasikini ni suala la nature.
Wapo masikini wanapambana Sana kuliko hata matajiri na still awatoboi.
 
Kweli mkuu lakini hapo linakuja swala la vipi mda
 
Back
Top Bottom