Tofauti kati ya Mwanamke na Uanauke

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,466
8,281
Kuna mwanamke na uanauke hivi ni vitu viwili tofauti alivyo vibeba mtu mwenye jinsia ya kike. mwanamke yupo presharized na Mambo ya kidunia hata 50/50 nk lkn uanauke uliopo ndani yake hayo maswala hauyatambui hata ajifosi vipi utamgomea japo ataigiza kuwa yupo sawa ila uanauke utamlilia tu kuwa unahitaji uanaume ili Mambo yawe sawa na uanaume ni Nini?

Uanaume ni ile Hali jinsia me ime umbwa nayo mfano sauti Nene, midevu , misuli migumu , vifua vipana , pua kubwa na hata vichwa vinene kiumbe dume lazima awe na baadhi ya hivyo vitu au awe na vyote Sasa ukija kuvidadavua hivyo vitu ndio utaona na kugundua uanamke ndio unavihitaji

Kama ilivyo kwa mwanaume akiona ngozi nyororo,sauti nyororo, nyama laini , sura nzuri , chuchu , shape ya mwanamke .

Basi kutokana na ufundi wa Mwenyezi Mungu uanauke na uanaume unahitajiana na kutokana na sifa hizo hapo juu Basi unamke kutokana na unyororo wake Basi unahitaji kitu kigumu ili ujisikie upo sehemu salama na hapo ndio mwanamke anapo taka kuwa chini ya mwanaume .

Sasa hapa ndio huwa nashangaa Hawa wanaume wanao penda kuwa laini laini huo ujasiri wanautoa wapi....?

Ndio hivyo mpendwa siku ukijua kwa Nini mwanaume Ana misuli migumu huku mwanamke anamisuli milaini utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Siku ukijua kwa Nini viumbe dume wote kwa asilimia kubwa wanavichwa vinene ndio utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Siku ukijua kwa Nini viumbe dume asilimia kubwa Wana pua kubwa zenye matundu mapana ndio utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Na siku ukijua kwa Nini viumbe dume asilimia kubwa Wana vifua vikubwa kushinda viumbe jike ndio utajua utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Hadi hapo utagundua by nature mwanamke inatakiwa awe controlled na mwanaume. Na ukimkuta mwanamke mwenye uwezo wa kupata hela zake akipata mwanaume mwenye kichwa kizuri na mwanaume nae Ana vihela vyake ila vipato vyote viwili Ana vikontroo mwanaume aiseee hiyo familia itakua na nguvu Sana na itafanya makubwa Sana chini ya hili jua na kinyume chake pia angalia wanawake wenye vihela ambao hawaja pata wanaume wa kuwa kontroo asilimia yao kubwa wanaishi maisha ya ajabu Sana japo wenyewe wanajiona wapo free lkn kiuhalisia hawapo free cos maisha wanayo ishi basically hayana future ndani yake yaani Yana u temporary mwingi Sana mfano kuto invest in future hela zote kuishia kufanya Mambo yasiyo na tija mfano kuwa na vitu vya fasheni wakiamini fashion wame iweza lkn kiuhalisia fasheni haijawahi shindwa yaani itakula pesa zako Hadi siku unayo kuja kustuka muda umeenda Kuna Mambo ya msingi mengi hauja fanya na hapo majuto huanza .

NB
Wanawake angalieni wanaume wazuri wa kuwaongoza kamwe usijiamini Sana utafeli cos nyie hamtumii akili katika Mambo yenu mnatumia hisia zaidi . Hivyo tafuteni wanaume watakao wakontro katika njia chanya na sio kuwafurahisha hisia zenu cos hisia ni jambo la mpito na lisilo na maana cos Lina badirika badirika kila muda.

Ni tofauti na mwanaume akikwambia hii laki Saba yako badala uweke kwenye manywele bandia ili watu waseme umependeza hapa chukua laki mbili kwa ajiri ya nauli na matumizi mengine hii laki tano ilio Baki weka kwenye mfuko wa familia na Mimi nikiweka yangu baada ya miaka minne tunafanya uwekezaji wa kwenda kununua mashamba pembezoni mwa miji.

Maana Kama kupendeza ulisha pendeza Hadi Nika kuweka ndani Sasa saizi unataka uendelee kujitwisha manywele ya gharama ili umpendezee Nani hizi hela Bora zisaidie tution fee za watoto ukipata kichwa Cha hivi kikakuntro aisee utafurahia uzee wako.

Last but not least. Mwanamke hauwezi kuishinda tamaa ya vitu vizuri hasa fasheni ving'aavyo machoni pako kwa akili zako mwenyewe trust me you need somebody to lead you and that body is a pure man.
 
Kuna mwanamke na uanauke hivi ni vitu viwili tofauti alivyo vibeba mtu mwenye jinsia ya kike.... mwanamke yupo presharized na Mambo ya kidunia hata 50/50 nk lkn uanauke uliopo ndani yake hayo maswala hauyatambui hata ajifosi vipi utamgomea japo ataigiza kuwa yupo sawa ila uanauke utamlilia tu kuwa unahitaji uanaume ili Mambo yawe sawa na uanaume ni Nini.....?
Wanawake Baadhi wanaacha Uanamke na Wanaume Baadhi Wameacha Uanaume Na Ndo Maana Mambo yamekuwa Hovyo hovyo tu, Si Ajabu kukuta kijana wa Kiume Mwenye Utimamu wa viungo asiye na Ulemavu anataka alelewe na Ahudumiwe na Mwanamke.

Kiasili Mwanaume Majukumu yake Ni yote yanayohusu Uchumi na Mwanamke majukumu yake ni yote yanayohusu Jamii ila Watu wanaacha njia hiyo na Ndo Tunajikuta tunakuwa Jamii yenye Kukosa Mwenendo Sahihi.
 
Wanawake Baadhi wanaacha Uanamke na Wanaume Baadhi Wameacha Uanaume Na Ndo Maana Mambo yamekuwa Hovyo hovyo tu, Si Ajabu kukuta kijana wa Kiume Mwenye Utimamu wa viungo asiye na Ulemavu anataka alelewe na Ahudumiwe na Mwanamke

Kiasili Mwanaume Majukumu yake Ni yote yanayohusu Uchumi na Mwanamke majukumu yake ni yote yanayohusu Jamii ila Watu wanaacha njia hiyo na Ndo Tunajikuta tunakuwa Jamii yenye Kukosa Mwenendo Sahihi

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Hapo ndio Mambo yanashangaza yaani kitu nyororo ndio inataka kuwa protector wa kitu kigumu
 
Kuna mwanamke na uanauke hivi ni vitu viwili tofauti alivyo vibeba mtu mwenye jinsia ya kike. mwanamke yupo presharized na Mambo ya kidunia hata 50/50 nk lkn uanauke uliopo ndani yake hayo maswala hauyatambui hata ajifosi vipi utamgomea japo ataigiza kuwa yupo sawa ila uanauke utamlilia tu kuwa unahitaji uanaume ili Mambo yawe sawa na uanaume ni Nini?

Uanaume ni ile Hali jinsia me ime umbwa nayo mfano sauti Nene, midevu , misuli migumu , vifua vipana , pua kubwa na hata vichwa vinene kiumbe dume lazima awe na baadhi ya hivyo vitu au awe na vyote Sasa ukija kuvidadavua hivyo vitu ndio utaona na kugundua uanamke ndio unavihitaji

Kama ilivyo kwa mwanaume akiona ngozi nyororo,sauti nyororo, nyama laini , sura nzuri , chuchu , shape ya mwanamke .

Basi kutokana na ufundi wa Mwenyezi Mungu uanauke na uanaume unahitajiana na kutokana na sifa hizo hapo juu Basi unamke kutokana na unyororo wake Basi unahitaji kitu kigumu ili ujisikie upo sehemu salama na hapo ndio mwanamke anapo taka kuwa chini ya mwanaume .

Sasa hapa ndio huwa nashangaa Hawa wanaume wanao penda kuwa laini laini huo ujasiri wanautoa wapi....?

Ndio hivyo mpendwa siku ukijua kwa Nini mwanaume Ana misuli migumu huku mwanamke anamisuli milaini utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Siku ukijua kwa Nini viumbe dume wote kwa asilimia kubwa wanavichwa vinene ndio utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Siku ukijua kwa Nini viumbe dume asilimia kubwa Wana pua kubwa zenye matundu mapana ndio utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Na siku ukijua kwa Nini viumbe dume asilimia kubwa Wana vifua vikubwa kushinda viumbe jike ndio utajua utajua kwa Nini mwanamke anahitaji kuwa controlled na mwanaume.

Hadi hapo utagundua by nature mwanamke inatakiwa awe controlled na mwanaume. Na ukimkuta mwanamke mwenye uwezo wa kupata hela zake akipata mwanaume mwenye kichwa kizuri na mwanaume nae Ana vihela vyake ila vipato vyote viwili Ana vikontroo mwanaume aiseee hiyo familia itakua na nguvu Sana na itafanya makubwa Sana chini ya hili jua na kinyume chake pia angalia wanawake wenye vihela ambao hawaja pata wanaume wa kuwa kontroo asilimia yao kubwa wanaishi maisha ya ajabu Sana japo wenyewe wanajiona wapo free lkn kiuhalisia hawapo free cos maisha wanayo ishi basically hayana future ndani yake yaani Yana u temporary mwingi Sana mfano kuto invest in future hela zote kuishia kufanya Mambo yasiyo na tija mfano kuwa na vitu vya fasheni wakiamini fashion wame iweza lkn kiuhalisia fasheni haijawahi shindwa yaani itakula pesa zako Hadi siku unayo kuja kustuka muda umeenda Kuna Mambo ya msingi mengi hauja fanya na hapo majuto huanza .

NB
Wanawake angalieni wanaume wazuri wa kuwaongoza kamwe usijiamini Sana utafeli cos nyie hamtumii akili katika Mambo yenu mnatumia hisia zaidi . Hivyo tafuteni wanaume watakao wakontro katika njia chanya na sio kuwafurahisha hisia zenu cos hisia ni jambo la mpito na lisilo na maana cos Lina badirika badirika kila muda.

Ni tofauti na mwanaume akikwambia hii laki Saba yako badala uweke kwenye manywele bandia ili watu waseme umependeza hapa chukua laki mbili kwa ajiri ya nauli na matumizi mengine hii laki tano ilio Baki weka kwenye mfuko wa familia na Mimi nikiweka yangu baada ya miaka minne tunafanya uwekezaji wa kwenda kununua mashamba pembezoni mwa miji.

Maana Kama kupendeza ulisha pendeza Hadi Nika kuweka ndani Sasa saizi unataka uendelee kujitwisha manywele ya gharama ili umpendezee Nani hizi hela Bora zisaidie tution fee za watoto ukipata kichwa Cha hivi kikakuntro aisee utafurahia uzee wako.

Last but not least. Mwanamke hauwezi kuishinda tamaa ya vitu vizuri hasa fasheni ving'aavyo machoni pako kwa akili zako mwenyewe trust me you need somebody to lead you and that body is a pure man.
Hii post iwekewe lamination kabisaa 😊
 
Bandiko kuntu..
Naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom