jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,987
- 22,515
wanajamvi,
Nafahamu kuna tofauti kubwa tu kati ya mauwaji ya Kibiti na shambulizi dhidi uhai wa Lissu.
Nimeshangazwa sana na wale wanaojaribu kufananisha haya matukio mawili. Wengine waki justify kuzuiliwa kwa michango ya damu na maombi kutokana na Kibiti. Wakiuliza kwanini hayo hayakufanyika wakati wa mauwaji yale.
Kwanza kabisa kuna utofauti mkubwa sana. Kwanza waliouwawa Kibiti hawakuwa wasaliti machoni mwa serikali. Serikali ilifanya kila jitihada kuwalinda wana wanakibiti pamoja na askari waliokuwepo kwenye doria maeneo hayo. Hata mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi na Amiri jeshi mkuu mwenyewe walenda huko.
Pia kulikuwepo na sintofahamu nyingi kuhusiana na Kibiti. Wengine wakifikiri ni ugaidi na wengine wakifikiri tofauti kutokana na ujumbe uliotolewa na washambuliaji hao kuwa sababu kubwa ni uonevu wa polisi dhidi ya raia.
Kwahiyo kwa upande mwingine, ilikuwa ni kama vita dhidi ya vyombo vya usalama. Na ndiyo maana wakuu wake wote walienda huko.
Nimejiuliza, kama ilivyo kwenye vita, hii vita ya Kibiti, wale watu wa serikali na askari walipouwawa kwenye vita hiyo, inamaana kwamba kiongozi wa kisiasa ambaye huongoza wananchi wa kawaida, akipatwa na madhara, wananchi wasisikitike kwasababu kuna askari wamekufa vitani, this time Kibiti?
Mbona hawashangazwi na the fact kwamba kama ni vita,vyombo vyote vya usalama ni bora wafe wote kabla ya kiongozi mkuu wa nchi? Je kama ni vita, mkuu wa nchi akipatwa na madhara, basi tusisikitike kwasababu maelfu ya wanajeshi na wananchi wamepoteza maisha?
Pia the fact kwamba Lissu ni national and international figure, ambaye msaada wake ni mkubwa kwa watu wengi zaidi ya wale wa Kibiti na eneo kubwa zaidi ya lile?
Duhumuni langu hapa ni tujadili hili jambo. Kwasababu, kwasasahivi ndo kigezo kikubwa kinachotumika cha kuweka vizingiti dhidi ya Lissu.
Karibuni...