Tofauti kati ya Jina la Biashara (Business Name) na Kampuni (Company)...

Musaru

Member
Jul 5, 2015
38
20
Habari wadau!

Kabla sijaingia kwenye biashara zilizorasimishwa, kuna mambo kadhaa nahitaji kuyafahamu.

Je, naweza kutumia jina la biashara la kawaida (lisilokuwa kampuni) Ku import bidhaa kwa ajili ya biashara.

Asanteni, naomba niishie hapo kwanza
 
Nilikuwa na nia ya kuanzisha thread kama hii.
Wataalamu naomba mje mtusaidie
 
Jina la biashara la kawaida , lisilokuwa la kampuni. Nyoosha maelezo vema !

My suggestions:

Case study: Kampuni ya mawasiliano

MIC TANZANIA LIMITED VS TIGO

Huwezi kutumia neno tigo ku import mzigo bali MIC why? tigo is not an artificial person but MIC hivyo sio mlipa kodi but MIC ndiye.

tigo jina la ma promosheni tu sawa na red devils vs man utd
 
Jina la biashara kisheria halina hadhi ya kuwa entinty kamili wakati kampuni ni legal entity kisheria.

Nami nina swali hapo, mfano nikaenda sajili jina la biashara BRELA, siyo kampuni, je mtu mwingine ambaye tuseme anataka kusajili kampuni ambaYo jina lake la kampuni ni sawa na la kwangu la biashara, je ataruhusiwa kusajili
 
hiii threasd nzuri alafu imeishia njiani....hususani nyakati hizi za kuelekea katika uchumi wa viwanda...
 
Back
Top Bottom