Tofauti kati ya Caldera na Crater

roservelt

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
1,418
1,510
Habarini..poleni na shughuli za kila siku. Naombeni tofauti kati ya caldera na crater. Je ngorongoro ni crater or Caldera????
 
cal·de·ra
noun
  1. a large volcanic crater, typically one formed by a major eruption leading to the collapse of the mouth of the volcano.
 
Volcanic crater
Geographical feature category
upload_2017-6-22_21-35-5.jpeg
A volcanic crater is a roughly circular depression in the ground caused by volcanic activity. It is typically a bowl-shaped feature within which occurs a vent or vents.
upload_2017-6-22_21-35-5.jpeg
 
Article nyingi zinaonesha kwamba ngorongoro ni crater ..je ni mabadiliko gani yametokea adi Leo hii iitwe Caldera?
Hapo kale 'caldera' zote zilianza kwa kuwa 'craters' baada ya mlipuko wa volkano...

Lakini kadiri miaka ilivyosogea sehemu ya juu ilipo crater zilimomonyoka na kukifanya kipenyo na kivimbe cha mdomo duara wa crater kuongezeka...

Wakati huo huo kimo cha mlima uliotengenezwa kwa mlundikano wa volcano kikizidi kupungua na kufanya muonekano kubadilika kutoka mlima ulio na tobo juu kuwa bakuli lililo na uwazi mpana wenye kingo pembeni...
 
Got you
 
Crater inatokea iwapo magma ikiganda pale kwenye vent au pluge pull ikitoka na caldera ni crater kubwa
 
Back
Top Bottom