Hapo kale 'caldera' zote zilianza kwa kuwa 'craters' baada ya mlipuko wa volkano...Article nyingi zinaonesha kwamba ngorongoro ni crater ..je ni mabadiliko gani yametokea adi Leo hii iitwe Caldera?
Inaitwa kimazoea tu... Ila vile ilivyo inabidi iitwe caldera..Article nyingi zinaonesha kwamba ngorongoro ni crater ..je ni mabadiliko gani yametokea adi Leo hii iitwe Caldera?
Got youHapo kale 'caldera' zote zilianza kwa kuwa 'craters' baada ya mlipuko wa volkano...
Lakini kadiri miaka ilivyosogea sehemu ya juu ilipo crater zilimomonyoka na kukifanya kipenyo na kivimbe cha mdomo duara wa crater kuongezeka...
Wakati huo huo kimo cha mlima uliotengenezwa kwa mlundikano wa volcano kikizidi kupungua na kufanya muonekano kubadilika kutoka mlima ulio na tobo juu kuwa bakuli lililo na uwazi mpana wenye kingo pembeni...
Mbona elimu ya Physical Geography hii!Naona watu wame google ile mbaya
i can't remember exactly...been a long since since i graduated frm middle school...How about size