Tofauti kati ya biashara na uwekezaji ni ipi?

Dit000

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
362
500
Biashara na uwekezaji tofauti yake ni kiwango chako cha ushiriki katika shughuli husika.Unasema umewekeza pale ambapo umetoa mtaji pesa lakinihaushirikia kwa kiwango kikubwa katika uendeshaji na usimamizi wa shughuli za kibiashara.Ila iwapo unashiriki katika usimamizi na uendeshaji basi unakuwa unafanya biashara.

Hata hivyo hivi ni vitu vinavotegemeana kwani bila kuwekeza hakuna biashara na bila biashara hakuna uwekezaji.
hivi leo, nikapata eneo kumba kama kiwanja cha mpira wa miguu, nikasanifu mchoro, the nikajenga jumba kumbwa say 30m kwa 50m, kwa ajili ya kuku, nikatia zangu kuku 40000, then nikawa naamka asubuh naenda shinda huko kuwahudumia hadi jioni then narudi nyumnani, kuku wakiwa wengi nawapunguza nawauzaa sasa hapo nitakuwa nimewekeza au? coz nawafuga katika mazingira kama ya nyumbani, na siitumii cha leseni ya biashara, wala cha tin number

yaaani kwa kifupi naitwa mfugaji, kama wamasai wanavyofuga ng'ombe, kwani na wenyewe wana leseni ya biashara au tin number?? si lakini na wao mifugo yao ikiongezeka si waga wanawauzaa tu, wanapata pesa?? kitendo cha kuwauza inakuwa biashara au?
 
smartweb

Senior Member
Nov 5, 2016
140
250

Mkuu leseni na TIN hazifanyi biashara iitwe biashara bali unapouza na kupata faida ndo unakuwa umefanya biashara.SO YES ni BIASHARA na WEWE ni MFANYA BIASHARA YA UFUGAJI NA UUZAJI WA KUKU.Ila ukiwa unafuga kwa ajili ya kula mwenyewe basi wewe ni MFUGAJI na hata ukilima kwa ajili ya kula mwenyewe(OWN CONSUMPTION) basi sio mfanya biashara.
 
Dit000

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
362
500
Mkuu leseni na TIN hazifanyi biashara iitwe biashara bali unapouza na kupata faida ndo unakuwa umefanya biashara.SO YES ni BIASHARA na WEWE ni MFANYA BIASHARA YA UFUGAJI NA UUZAJI WA KUKU.Ila ukiwa unafuga kwa ajili ya kula mwenyewe basi wewe ni MFUGAJI na hata ukilima kwa ajili ya kula mwenyewe(OWN CONSUMPTION) basi sio mfanya biashara.
umenena vizuri mkuu, kwamba biashara ni kununua na kuuza, sasa huoni kutokuwa na TIN wala LESENI unaweza pigwa faini kuwa unahujumu uchumi wa nchi? kwamba hulipi kodi?
ni sababu zipi zinawafosi kwa watu wanaofauga kuku, kuwa na TIN na LESENI ya baishara ? kama mr.kuku

kwa hiyo unashauri mtu aendelee na ufugaji huu mkubwa wa kuku(say 40000) pasipo kuwa na leseni na tin number?
 
hapo nimeelewa kwamba mimi ni mfanyabiashara wa ufugaji wa kuku kwasababu nauza na kupta faida, mi nilijua naitwa mfugaji wa kuku basi basi.
 
smartweb

Senior Member
Nov 5, 2016
140
250
umenena vizuri mkuu, kwamba biashara ni kununua na kuuza, sasa huoni kutokuwa na TIN wala LESENI unaweza pigwa faini kuwa unahujumu uchumi wa nchi? kwamba hulipi kodi?
ni sababu zipi zinawafosi kwa watu wanaofauga kuku, kuwa na TIN na LESENI ya baishara ? kama mr.kuku

kwa hiyo unashauri mtu aendelee na ufugaji huu mkubwa wa kuku(say 40000) pasipo kuwa na leseni na tin number?
Mkuu,usipokuwa na vibali sahihi unakuwa umevunja sheria.Hilo ni suala tofauti kabisa (Katika biashara ukiona sheria inakuwa kizuizi cha wewe kufanya biashara yako vizuri basi unapaswa kutafuta namna ya kuivunja/kuikwepa hio sheria huku ukifanya machakato wa ama kuibadilisha hi sheria au kubadilisha mfumo wako wa biashara uendane na sheria) Ndio maana hata wauza madawa ya kulevya wanaitwa wafanya biashara na hata wanaofanya magendo wanaitwa wafanya biashara.
 
sasa unanishauri nitafute TIN number??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom