Tofauti kati internet security na antivirus

eliasy

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
455
53
Kwa msaada naomba kujua tofauti kati ya Internet Security na Antivirus iko vipi?
Kwa mfano unakuta Kaspersky Internet Security na Kaspersky Antivirus.
bado cijaijua tofauti yake.....!!!!!!!!!
 
antivirus kazi yake nikuilinda computer na internet security kazi yake nikukulinda ukiwa online mana sometimes kuna mpaka fake websites lakn ww huwezijua so kupitia internet security wanaweza wakakuonya napia ninzuri kwawale wanaofanya online biznez na wale wanaokesha sana online.

hlo ndo jibu!
 
Back
Top Bottom