F Fridahlema Member Nov 1, 2021 8 3 Nov 27, 2021 #1 Naomba kujua tofauti kati BBA na BBM hizi course kwani zinautofauti? Msaada wenu nahitaj kujua kwa undani
Naomba kujua tofauti kati BBA na BBM hizi course kwani zinautofauti? Msaada wenu nahitaj kujua kwa undani
kyagata JF-Expert Member Oct 18, 2016 6,458 12,555 Nov 27, 2021 #2 Nadhani ni majina tu, ila ni kitu kimoja hicho