Tofauti kadhaa kati ya mwanaume na mwanamke... Nawe ongezea nyngne

hawanuki miguu kama wanaume!.....huvutia wateja katika club nyingi za usiku!!!
 
Magari ya wanawake hayawaki mpaka yasukumwe tofauti na magari ya wanaume ambayo yanapiga STARTER tena mara moja. Hakuna gari ya mwanamke inayapiga STARTER duniani.
 
hii fasihi umejifunzia wapi??
Ni pale pale kweli?
Mbona kubwa sana?

Nina A ya Kiswahili mtihani wa kidato cha nne, nina B ya Kiswahili mtihani wa kidato cha sita. Nafikiri jibu la swali lako umepata. Nina wasiwasi 2/3 ya members wa Chit chat hawajaelewa nimemaanisha nini. Naomba Kongosho uwatafunie japo kidogo kama kweli na wewe umeelewa.
 
labda wanipe hela
mie nimetumia kiswahili changu chote na hesabu
ndo nikaelewa

ndo maana nikataka kujua hiyo fasihi umeikua wapi
kwa A ya Olevel na B A level
basi nimekubali

Nina A ya Kiswahili mtihani wa kidato cha nne, nina B ya Kiswahili mtihani wa kidato cha sita. Nafikiri jibu la swali lako umepata. Nina wasiwasi 2/3 ya members wa Chit chat hawajaelewa nimemaanisha nini. Naomba Kongosho uwatafunie japo kidogo kama kweli na wewe umeelewa.
 
wanauwezo wa kupitisha mtoto kwenye sehemu ndogo usiyotegemea kama atapita..kuzaa..
 
wanauwezo wakuwapanga wanaume km reli ya kati au tazara
shap ktk kuchomoa pesa za wanaume kwenye wallet
 
Urafiki wa baina yao wenyewe hubadilika badilika sana, leo Ashura rafiki yake ni Stella, kesho Stella kahamia kwa Siwema na Ashura kagandia kwa Eliza, mara oooh Stella kamshindwa Siwema na akamalizia urafiki kwa Joyce, wakati huo huo Eliza hamtaki Ashura kwa sababu rafiki yake ana bifu na Stella!

Kaazi kweli kweli!

mbona unawataja ambao wamewahi kuwa wapenzi wangu.Unajua nini?
 
Wanaume wakiingia kwenye walet,wanatoka na "kitu" wanawake wakiingia kwenye pochi wanaweka "kitu!
 
Back
Top Bottom