Tofauti ipo kubwa sana kati ya Diamond na Ali kiba

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
882
1,029
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kupitia nyimbo za wasanii hao zilizotoka hivi karibuni zimeonyesha utofauti wa uwezo na kukubalika uliopo kati ya wasanii hawa wawili

Ali kiba ametoa wimbo akishirikiana Ommy dempoz na cheed ambao hivi sasa unatakribani wiki moja ukiwa katika mtandao wa u tube huku ukiwa ba views milioni moja.

IMG_3939.JPG

Diamond ametoa wimbo wake akiwa peke yake ambao una siku moja ndani ya mtandaobwa u tube ambao hivi sasa una views milioni moja na laki nne

IMG_3940.JPG

Kwa sasa hakuna ubishi kabisa level nzima Rock Star haiwezi kushindana na Diamond peke yake tena wimbo ambao ni wa kawaida sana na ninategemea swala la ubishi lililopo nani mkali kati ya Diamond na Ali kiba litakuwa limepata majibu
 
Huyo Jamaa Nasibu, ana subscriber 1.8M huko youtube,
So automatically kitendo cha yeye ku'upload video youtube hao subscriber 1.8M kawa watakuwa waliweka kengele ya kuwajulisha pindi jamaa anapoupload video na wakiwa active ina maana wanapata taarifa muda huo...
Huyu mtu ni rahisi sana kupata 1M views within a day
 
Kiba hana subscribers?
 
Kwa sasa hakuna ubishi kabisa level nzima Rock Star haiwezi kushindana na Diamond peke yake tena wimbo ambao ni wa kawaida sana na ninategemea swala la ubishi lililopo nani mkali kati ya Diamond na Ali kiba litakuwa limepata majibu[/QUOTE]

Bado hawajafika viewers milion moja na lake nane!
 
Hao subscriber kawa nunua au kawaokota, hustle of sweat and blood bado apewe heshima yake.
Huyo Jamaa Nasibu, ana subscriber 1.8M huko youtube,
So automatically kitendo cha yeye ku'upload video youtube hao subscriber 1.8M kawa watakuwa waliweka kengele ya kuwajulisha pindi jamaa anapoupload video na wakiwa active ina maana wanapata taarifa muda huo...
Huyu mtu ni rahisi sana kupata 1M views within a day
 
Kwa sasa hakuna ubishi kabisa level nzima Rock Star haiwezi kushindana na Diamond peke yake tena wimbo ambao ni wa kawaida sana na ninategemea swala la ubishi lililopo nani mkali kati ya Diamond na Ali kiba litakuwa limepata majibu[/QUOTE]Hapa jibu unalo mwenyewe. Kinachoangaliwa ni ushabiki na umaarufu wa mtu, sio uzuri na ubora wa wimbo. Views si hoja bali content na uzuri wa wimbo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom