tofauti iliyopo kati ya mageneral wa marekani na africa ni hii apa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281




799332_CUsersolibeyojiPicturesgenerals_jpgdfaa45326a4376d249036a82c4b2bab8
799332_CUsersolibeyojiPicturesgenerals_jpgdfaa45326a4376d249036a82c4b2bab8.jpeg
 
Hao wakidughu wamlala huku wamesimama ndio tofauti
 
Majenero wetu wengi ni wajawazito kutokana na kujaza mali za dhuluma ili kulinda utawala mchafu. Majenero wa US huwezi kuwalinganisha na hawa wagonjwa wa viribatumbo wetu wasiotumia muda wao kufikiri bali kuamrishwa na wezi wa kawaida wenye madaraka.
 
active vs inactive
No vitambi+kunenepeana hovyo vs vitambi+kunenepeana hovyo
 
Back
Top Bottom