tofauti iliyopo kati ya mageneral wa marekani na africa ni hii apa


Wilbert1974

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
1,622
Points
1,225
Wilbert1974

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
1,622 1,225
Sijaona tofauti hapo! labda kwenye uvaaji kofia...
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,101
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,101 2,000
Hata KUNENEPEANA.............
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,410
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,410 2,000
Hao wakidughu wamlala huku wamesimama ndio tofauti
 
Wilbert1974

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
1,622
Points
1,225
Wilbert1974

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
1,622 1,225
Hata waliolala hujawaona? Wahi kwa doctor wa macho fasta
Sidhani kama hao wamelala au wameweka shingo upande! kwani macho yao hayaonekani kuonyesha kama wako kwenye milalao!
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Majenero wetu wengi ni wajawazito kutokana na kujaza mali za dhuluma ili kulinda utawala mchafu. Majenero wa US huwezi kuwalinganisha na hawa wagonjwa wa viribatumbo wetu wasiotumia muda wao kufikiri bali kuamrishwa na wezi wa kawaida wenye madaraka.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,138
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,138 2,000
Wa USA wapo active while wa Africa inactive!
 
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,844
Points
2,000
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,844 2,000
active vs inactive
No vitambi+kunenepeana hovyo vs vitambi+kunenepeana hovyo
 

Forum statistics

Threads 1,283,852
Members 493,850
Posts 30,803,093
Top