Hongera sana mkuu,
USHAURI WANGU: Kwa kutambua uzito na umuhimu wa siku ya leo katika life yako bora utembelee mayatima/wagonjwa/utoe sadaka(fungu la kumi) au ufanye sala ya maombi kwa ndugu zako walotangulia mbele ya haki.
Samahani kama ushauri wangu hautokuwa na maana kwako.
Amani ya bwana iwe nawe..
Pamoja na kuchakachua umri Manyanza na IDs zako zote ....Long live broda
Wakuu!
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.
Oooh Gosh!
I didnt expect that we have that much agers in these forums!...ni 24 au umekosea na 42?
By ze way, congrats young man...you must be so energetic and kicking at that age!
I think also that Luv thang must be driving you nuts!...I was once of that age!..the life was quite different men!
Wakuu!<br />
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.
You are most welcome...thanks for the spiritual words
Dah! Alafu we jana ka ulitugea notification vile, cjui nini kilinipitia adi nikajisahau!! Anyways, HAPPY BIRTHDAY kijana, furaha na amani vitawale ktk maisha yako.