Elections 2010 Today in perspective:tz election 2010 post morterm

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Dr Lwaitama huwa napenda hoja zake sana leo kwenye kipindi cha today in perspective uyu mzee alitoa point akasema IN AFRIKA THE DEVIL IS IN THE COUNTING
Na ndio maana waangalizi wanasema uchaguzi ulikwa wa huru ila haukuwa wa haki bse of numerous delays made purposely in some areas to mention but a few Ubungo,Segerea,Mwanza,Arusha etc
Walikuwa wanadiscus kuhusu yaliyojili kuhusu uchaguzi wa 2010.
Wote kwa ujumla wameungana na hoja ya Lipumba kuwa tume huru ya uchaguzi ni jambo la kulichukulia seriously
 
Tena CCM nazani apo wataziba masikio kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Labda donors wakishinikiza
 
Tena hao donors wafanye kazi kweli kweli ni sawasawa unamnyang'anya askari bunduki then unamwambia nenda vitani wakati hiyo bunduki ndio silaha yake kuu anayoitegemea huko vitani. kazi ipo.
 
Wakitishia kutunyima misaada tutanyooka lazima tusalimu amri
 
Hata swala la ufisadi hao donors walitia shinikizo la nguvu wasongeshwe mahakamani hatima yake tukaishia kuona sanaa wengine wakipelekwa wengine wakaachwa sasa inaonekana hawataki swala la haki ni kufuata utawala wa sheria bila njia makini ya kukabiliana na hili tutaendelea na hali hiyo hiyo manake watawala wenyewe hawaonekani kuwa tayari kuyashughulikia maswala yanayoliangamiza taifa kwa umakini badala yake wao ndio washiriki wakubwa.Fisi kapewa bucha alinde hapo!
 
Back
Top Bottom