Tumechoka na story za Holocaust unajua Warusi wengi zaidi ya wayahudi walikufa kwenye vita vikuu vya pili lakini wamesahau na kuendelea na maisha yao lakini hawa kila mwaka wanataka tusisahau na hata hio figure ya 6million imebishiwa na wataalam wengi.
Nakubaliana na wewe, lakini kumbuka kwamba kama trial ya Nuremberg isingefanyika, basi leo tusingekuwa na genocide trials za Rwanda (Arusha), Cambodia au Sierra Leone. Kila kitu kina mabaya na mazuri yake.