M
MegaPyne
Guest
Tarehe 20 December mwaka 2005. Jk alitangazwa kama Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini (NEC) Jaji Lewis Makame, akitangaza matokea ya uchaguzi mkuu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, ambapo mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete, (katikati) aliibuka mshindi.
(Picha na Athumani Hamisi)
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete, akipunga mkono baada`ya kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni mkewe, Mama Salma Kikwete.