Today: Crystal Palace vs Watford

Crystal Palace jana wamejiunga na Cardiff na Hull city kupanda daraja toka npower championship league kuingia barclays premier league baada ya kushinda play off final wembley kwa kuifunga Watford goli moja bila goli lilifungwa na mkongwe Kevin Phillips (39 years old) kwenye extra time dakika ya 105.Ushindi wa jana umewaingizia kitita cha pauni za uingereza 120 million.
 
dogo zaha fundi,anajua sana yule,kma ilvyokuwa kwa game zngne za crystal palace,jana amewasaidia sna kushinda ile game,ni pigo kwao kuondka zaha,atatusaidia sana man utd,karibu OT zaha!
 
Back
Top Bottom