Toa sababu zinazoonesha kuwa jf imevamiwa na watoto wa fb.

Mijitu kama wewe. Na thread zisizo na kichwa wala miguu.
 
Uandishi huu :-
xna = sana
xjiu= sijui
7bu = sababu
Aidha member anatoa Thread anauliza "girl wangu ambae pia classmate wangu kaninunia nifenyeje?"
unakuta sisi wachangiaji baadhi yetu tuna mabinti walioko shuleni, so far waweza changia utongozwaji wa binti yako!
 
Kunamambo mengi sana yanayodhihirisha hiyo hali., mkuu Judgement kajaribu kuyaainisha baadhi...
 
Uandishi huu :-
xna = sana
xjiu= sijui
7bu = sababu
Aidha member anatoa Thread anauliza "girl wangu ambae pia classmate wangu kaninunia nifenyeje?"
unakuta sisi wachangiaji baadhi yetu tuna mabinti walioko shuleni, so far waweza changia utongozwaji wa binti yako!

Nakusalimu mkuu, kunawengine pia wake zao wapo huku, anaweza akasaidia mkewe kutongozwa pia, we have to be so carefully on that..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom