Msolid1990
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 144
- 49
1.Thread za kijinga.
Ongeza nyingine.....
Ongeza nyingine.....
Na hiyo coment yako pia.
Mwaka uliozaliwa kama unavyojionesha
Mijitu kama wewe. Na thread zisizo na kichwa wala miguu.
wengine woooote wametokea fb isipokuwa wewe tu. Big up mkuuKufupisha maneno,...m2wangu
Mh km wewe
Uandishi huu :-
xna = sana
xjiu= sijui
7bu = sababu
Aidha member anatoa Thread anauliza "girl wangu ambae pia classmate wangu kaninunia nifenyeje?"
unakuta sisi wachangiaji baadhi yetu tuna mabinti walioko shuleni, so far waweza changia utongozwaji wa binti yako!