Toa sababu kwa nini unaenda kununua Dada poa / malaya

Mhhh...Mkuu...!!!

Mtu uliyeingia naye makubaliano na mkataba wa kuishi naye siku zote katika maisha yako unamwita dada poa?

Mtu anayekuzalia au atakayekuzalia watoto na awe mama wa watoto wako unamwita dada poa?

So ulioa dada poa?

Nimeuliza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama unaamini mkeo ni wako na unamwamini sana mie najua huyo ni dada poa tu ila wewe hujui na ukitaka kujua utakubaliana na mimi kuwa walioolewa ni madada poa pia. Shauri zako!
 
Siku nilipohonga 100000 halfu demu mwenyewe akanizingusha papuchi yake ndo nilijua umuhimu wa dada poa; maana nilikuwa maeneo ya lachaz nakula vitu vyangu demu kaniweka kishenzi na mwili nishauandaa kisaikolojia; ikabidi nijichukulie goma kali lenye viwango vyote tbs/tfda; mpaka leo nikiona goma langu linanichelewesha wala sifikiri mara mbilimbili; naangalia niende kona bara/meada/meridian/maisha/ ndo chimbo zangu maana niña kadi ya kudumu mpaka nitakapookolewa na mwanamke ambaye atakuwa na kifurushi kisichokuwa na kikomo. Sio mambo ya leo siji pumbafu kabisa /leo sijisikii
Haya yamenitokea juzi tu mpaka nikatamani nipate Malaya Ni mnunue tu yaani hela yangu imeliwa hivi hivi bila kuonja chochote
 
Sababu malaya,hatakwambia habari za mama yake kuumwa,wala sherehe,ama kupoteza simu baada tu ya kuonana,na hutasikia nitumie na ya kutolea,,,
Pia nilichogundua malaya wengi 80% ni hawahawa wanaonata kitaa,maana ilitokea miezi kadhaa iliyopita mwana alimuelewa sana demu kitaa,akawa full kujitoa kwa misaada na huduma mbalimbali akiamini punde atapewa K,,
Mwisho wa picha jamaa wakamtonya kuwa huyo ni muuzaji,wakampeka mpaka chimbo akabana sehemu msela akamchukua akaenda akamla kwa ten tu,,baada ya kuliwa ile anatoka.anamkuta jamaa yuko nje,,ha ha ha ha ,,
 
Hawati uhusiano wa muda mrefu. Kuna wakati anamuhitaji demu kingono tu, lakini akimwambia anaonekana wa ajabu. Demu anataka uanze kumdanganya unampenda wakati unamuhitaji kwa siku moja tu.
 
Sababu malaya,hatakwambia habari za mama yake kuumwa,wala sherehe,ama kupoteza simu baada tu ya kuonana,na hutasikia nitumie na ya kutolea,,,
Pia nilichogundua malaya wengi 80% ni hawahawa wanaonata kitaa,maana ilitokea miezi kadhaa iliyopita mwana alimuelewa sana demu kitaa,akawa full kujitoa kwa misaada na huduma mbalimbali akiamini punde atapewa K,,
Mwisho wa picha jamaa wakamtonya kuwa huyo ni muuzaji,wakampeka mpaka chimbo akabana sehemu msela akamchukua akaenda akamla kwa ten tu,,baada ya kuliwa ile anatoka.anamkuta jamaa yuko nje,,ha ha ha ha ,,
Kwahyo ikawaje mkuu😁
 
Kula Malaya kunaleta effect nyingi physicologically.... Watu wengi wanaokula Malaya wanakumbwa na matatizo ya kushindwa kuwaandaa wapenzi wao pindi atakapo kuwa kwenye mahusiano coz akili ishazoea kuchomeka tuu na kuanza ku pumb ,mnunua Malaya anaubinafsi anataka akamilishe tendo lake tuu then akae pembeni
 
Matukio anuwai yaliyowahi kunikuta kwenye harakati za kununua malaya:-

1.Mabatini Mwanza - Nilitoka Buzuruga majira ya saa nne usiku nikaelekea Mabatini mitaa ya Field force(FFU) ile naelekea nika-sort wanapojipanga nikakutana na limama la kijaluo, kuuliza bei linaniambia dasi (5000)..nikaona hapa ndo penyewe likaniambia kule kuna walinzi watataka 3000 njoo tupige show hapa chap chap nikakubali basi likainama ile nimechomeka tako mbili, tatu , likasema "chuma cha mkanda kinaniumiza shusha suruali"..lahaulah..kushusha suruali likanisachi likanipiga vinoti kadhaa...ile nimepanda hiace nilipe nauli kwa konda narudi Buzuruga ndo nikasanda nshapigwa nikajua ni lile limama.

2.Mabatini Mwanza(Second time)
Kama kawaida nikafika chimbo langu ni-sort vitu vyangu nikapata kadada fulani kachangamfu ilikuwa kama saa saba hivi usiku..palikuwa kimya alafu kuna magari yamepaki pale mitaa ya Garage palepale FFU, tukazama hadi mule Garage kakachojoa kakalala chali nimevaa ndom nataka kuingiza tu nikadakwa shati kwa nyuma...kugeuka ni njagu akanitia pingu,cha kushangaza alimwachia yule malaya kumbe vile vitax vinavopaki pale kuna askari wanakuwa mule, nikawekwa kwenye tax kati kati mule nilikuta polisi wawili, wa kike alikaa mbele wa kiume nyuma ikiwa pamoja na yule aliyenikamata...Tukaanza kuelekea Kituo cha Polisi Pamba, kufika mitaa ya Lango(mlango mmoja)nikaanza kuwapiga sound , yule polisi wa kike alitukana sana,mara Tukafika Nata jamaa hawanielewi mara tukafika Pamba jamaa wakanisachi wakanikuta na elf 74,000 wakachukua 60,000 wakanifungua pingu wakaniacha na elf 14,000 niliapa sitarudi kamwe lile chimbo

3.CCM Kirumba
Yule malaya nilimchukua hadi geto, makubaliano ilikuwa kulala 30,000 kufika geto nikapiga kimoja sababu nilikuwa nimelewa sana nikalala fofofo kumbe nilisahau kufunga kitasa..yule malaya akanipiga 90,000 akapita hivi ...kuja kuamka waleti iko empty..hewala sababu laptop na simu aliviacha mezani hakuchukua...

Kama ulishanunua sana malaya lazima kuna kisanga kilishakupata, kama bado ujue kinakuja au we sio mkwongwe kwenye hiyo tasnia

Samahani kwa wale mnaonijua...nilisha acha kununua malaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom