Toa maoni yako kuhusiana na picha hii

mzeelapa

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
1,115
389
Nassari Joshua pamoja na Mhe, Peter Msigwa.

Mbunge wetu (Mch.) akiwa huko Marekani na washabiki wa Brazil (Mabinti), toa maoni yako.

Picha hii imenukuliwa kutoka ktk Blog ya Mjengwa.
 
Wewe unataka maoni gani? Hiyo ilikuwa ni mechi kati ya Brazil na Marekani. Marekani walicharazwa mabao 4-1.
Hao unaowaona ni mashabiki wa kandanda. Hivi wabunge wetu wakipiga picha na mashabiki wa Simba pale uwanja wa taifa utatoa maoni gani?
 
Well.. nilichojifunza hapa ni kwamba mwaka 2014 lazima niende Brazil kwenye kombe la dunia kama mambo yenyewe ndo haya..
 
Nassari Joshua pamoja na Mhe, Peter Msigwa.

Mbunge wetu (Mch.) akiwa huko Marekani na washabiki wa Brazil (Mabinti), toa maoni yako.

Picha hii imenukuliwa kutoka ktk Blog ya Mjengwa.

​Hapo pekundu ndo pakuanza kujifunza.
 
Wewe unataka maoni gani? Hiyo ilikuwa ni mechi kati ya Brazil na Marekani. Marekani walicharazwa mabao 4-1.
Hao unaowaona ni mashabiki wa kandanda. Hivi wabunge wetu wakipiga picha na mashabiki wa Simba pale uwanja wa taifa utatoa maoni gani?

Tumpotezee huyu sbb hakuna la msingi hapo zaidi kupoteza muda
 
Maoni gani yanatakiwa? Tatizo ni kuwa ni mabinti? JK akipiga na Beckamm na wale waimbaji wengine ilipata maoni?
 
kazi ya wabunge ni kupiga picha na hao machangu huko ughaibuni?? Hii picha ina maana gani sasa? Blalifaken, utaendelea kushabikia ujinga hadi lini na umri unazidi kukuacha?!
 
Eh!Jamani matusi hayatakiwi hapa JF.Kama mtu amekosea hatutakiwi kumtusi sisi watu wazima.Hilo la Msigwa nitarudi tena!
 
JK akipiga na Beckham na 50 ilikua zogo ila hawa coz ni wabunge wa chadema basi hamna kibaya.. Huo ndo ulimbukeni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom