Toa maoni yako , huu ni unyanyasaji au urembo... Kazi kwenu

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
hee.jpg african culture iz better than european culture
 
Hi haiwezi kuwa kweli mi ningekua nishaiona kwani nipo Atown kitambo

Kuna mtu yeyote aliyesema ni wa A-Town? Maasai wapo nchi nyingi za Afrika!! huu ni udhalilishaji coz sidhani kama kuna mwanaume wa jamii hiyo kafanyiwa hivi!!
 
mimi najiuliza,ukipata mke kama huyo,ukitaka juice utakunywaje? Hapo sijui atatoa ulimi kwa juu au chini... Huu ujinga,tamaduni hizi zinatakiwa zife.

mkuu walioasisi style hii inawezekana huo ujanja wa juice si sehemu ya mapenzi
 
Back
Top Bottom