Toa Maoni Yako Baada ya Hili Tukio

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
7083.gif
 
Hilo jamaa lililomng'ang'ania mguu mpaka akapigiza kiuno litakuwa ni limume mwenza la mshkaji duh!!
 
Walikuwa wanamrusha kwenye maji. Au ni macho yangu?
 
Kwanini hutumii mfumo ulio rahisi kwa sote kuaccess picha zako?

Hiyi picha ipo ktk *.gif ambapo hufanya picha kuwa na animation na iwapo utabadili mfumo wake basi picha haitacheza tena, nakushauri kutumia computer ili uweze ku-enjoy maana baadhi ya simu hazi-suport

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom