To you Tz Developers

m2poa_

Member
Aug 13, 2018
15
5
Wadau wa tech naombeni kufahamishwa kama kuna library yaku filter bad words inayo support swahili language.

kama hakuna nahisi ni muda wa dev wakitanzania kufanya hivo coz kiswahili ndo lugha yetu mama...nitafurahi nikiiona iyo kitu Github...and ready to contribute ku list words kwenye iyo dictationary ,

i suggest nodeJs itumike ku develop it.

....Hope it will add ur credits.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inawezekana, dictionary unaweka upande wa server(php), client side unatumia node au ajax, kufilter, ku censor na ku mask ayo maneno
 
Ni wazo zuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uwepo wahiyo library..naikawa inajitosheleza...hata social networks sites wataitumia...

nahawa jamaa zetu wakutukana matusi mtandandaoni...tutawapunguzia kwenda jela...na viongozi watakuwa salama na tutaishi kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hope ni simple project...wale wanaoleta mafundisho ya tutorials humu wafanye kitu......za lugha ya engl, italia and other zipo nyingi so is our turn....hata JAMIIFORUM wataitumia ikionekana useful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inawezekana, dictionary unaweka upande wa server(php), client side unatumia node au ajax, kufilter, ku censor na ku mask ayo maneno
Mkuu hii ofcoz itasaidia kufilter tu maneno. Lakini nlivyomuelewa jamaa anataka iwe na uwezo wa kutambua yapi ni matusi, etc.. The best way mm nnayoiona ni kutumia neural networks (A.I) coz hata kwa kutumia php tunaweza kutengeneza neural networks zitakazotambua kama neno ni tusi au.

Nmesuggest neural networks kwa sababu maneno mengine ni matusi sawa lakini unakuta limeandikwa sio kwa nia ya kutukana. Mfano labda mtu anaandika quotes au anaandika mtandaoni report ya maneno yaliosemwa na mtu fln. So hapo hizo neural networks tutazitrain kuangalia kwanza neno kama ni tusi, pili iangalie neno limetumiwaje......

Kama tukitumia raw php na database, mfano kwenye table ya 'words' kukawa na column ya 'type' ambayo itachukua values za kuonyesha aina ya neno kama ni la kawaida au ni tusi. Hii itasaidia tu kukataza moja kwa moja matumizi ya hayo maneno yalio na values zinazoonesha ni tusi lkn system itashindwa kutambua neno limetumika katika muktadha upi

Kwenye hizo neural networks na recomend kutumia php. Japokua watu wanasema php isnt good for A.I lkn kwa hii project naona php itasaidia sana coz kuna matumizi ya database, and according to my experience php is good for database interaction. Kama vp tunaweza kutumia Python.

Kama mpo tayari tunaweza kufungua hii project github
 
hope ni simple project...wale wanaoleta mafundisho ya tutorials humu wafanye kitu......za lugha ya engl, italia and other zipo nyingi so is our turn....hata JAMIIFORUM wataitumia ikionekana useful

Sent using Jamii Forums mobile app
Itz a good idea. Ila sasa mtu mmoja hawezi fanya hii kitu. Inabidi kuwe na team. Hii ni kama project ya kujitolea na ukiangalia real programmers wengi wanakazi ambazo zinawakeep busy sana. Ila pia hii project kama itafanyika itakua ni chance ya wale wanaojiita wamesoma IT na programming vyuoni kuprove walichosoma. Coz hawa ma IT wanaograduate huwa sioni mchango wao ktk secta ya IT hapa bongo. Wengi utakuta wanalilia kuajiliwa, lkn kama tukiteam up kufanya hii project basi hata CV yako itaongezeka Uzito
 
Naunga mkono hoja lakini (mimi binafsi) sioni maana au ulazima wake, there are a lot and very beneficial twaweza fanya kuliko hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa there a lot of other projects(VERY SIMPLE TO SAY)
Enheeee na ww tuambie kama ipi ambayo ipo beneficial.

Ila kwa hii project mm naiunga mkono 100% coz ukiangalia mitandao saahivi inaanza kutengeneza systems za kuwakataza watu kupost udaku na habari zinazopotosha(mfano facebook). Hii project ikifanyika itakua of very great help. Isitoshe Kiswahili ni lugha inayokua sana kwa sasa. So why not???
 
Wadau wa tech naombeni kufahamishwa kama kuna library yaku filter bad words inayo support swahili language.

kama hakuna nahisi ni muda wa dev wakitanzania kufanya hivo coz kiswahili ndo lugha yetu mama...nitafurahi nikiiona iyo kitu Github...and ready to contribute ku list words kwenye iyo dictationary ,

i suggest nodeJs itumike ku develop it.

....Hope it will add ur credits.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lets make a team mkuu.
 
mkuu nikupongeze kwa kuona hii ki2 ni useful....bahati mbaya sana mm sio pure programmer ..niligusa izo mambo kidogo (kama coarse tu) enzi nasoma.

bt worry not nina best yangu ni real programmer na hata Github ana projects kama3,nitamgusia aongeze nguvu

bt naomba wengine wajitokeze..hapa hapa iwe project itakayo nufaisha hata taifa hususainj kuokoa watu na sheria za mtandao.

ila kwakuanzi unge list tools unazo ona zingefaa ili mtu kama yupo familiar nazo nirahisi kujitokeza ku team up.

mfano:

mm nilipendekeza node coz ina trend kuliko php so easly other companies ku adapt.

...Then ukisha list uanze kwa kufungua hata jina la project huko Github..member mmoja atakuja na wengine toka hapa hope watakuja coz ni open source.

Okay mkuu. Nmekupata..

Kutokana na solution nliokua nmesuggest hapo juu basi tusitumie php, but tutumie moja kwa moja node.js, kama tungetumia php basi tungetumia ajax na json kufetch data na responses from the server. Ila nakubaliana na ww kwamba tech companys nyng kwa sasa zinatumia Javascript(nodeJs).

So kwa mm nnavyoona requirements zinaweza kuwa hizi
-node.js (ili kuwasiliana na server + database coz hyo maneno yatatunzwa kwenye database)

-brain.js (hii ni javascript library [Actually it is npm module] ambayo inatumika kutengeneza neural networks in js: neural networks zitakuwa trained kufahamu muktadha wa matumizi wa hilo neno na kuruhusu aidha neno litumike au la)

-Mysql (Hii ni kwaajili ya ku query database)

-Vue.js au hata normal HTML na Css(lazma mtu awe anajua DOM: Ili tutumie kutengeneza simple user interface)

Ni hayo tu. Ila hapo the main issue ni kujua javascript na html and css tu.
 
Yeah thats gud, nimeona wengi wakitumia words match ila hii yakwako ya neural networks nikitu kizuri zaidi. nahisi ungefafanua kidogo ....maaana mostly words match ndo inatumika japo words match nayo ina leta utata kidogo

kwa mfano neno asset linaweza be filtered kisa tu hizo herufi tatu za kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay mkuu. Nmekupata..

Kutokana na solution nliokua nmesuggest hapo juu basi tusitumie php, but tutumie moja kwa moja node.js, kama tungetumia php basi tungetumia ajax na json kufetch data na responses from the server. Ila nakubaliana na ww kwamba tech companys nyng kwa sasa zinatumia Javascript(nodeJs).

So kwa mm nnavyoona requirements zinaweza kuwa hizi
-node.js (ili kuwasiliana na server + database coz hyo maneno yatatunzwa kwenye database)

-brain.js (hii ni javascript library [Actually it is npm module] ambayo inatumika kutengeneza neural networks in js: neural networks zitakuwa trained kufahamu muktadha wa matumizi wa hilo neno na kuruhusu aidha neno litumike au la)

-Mysql (Hii ni kwaajili ya ku query database)

-Vue.js au hata normal HTML na Css(lazma mtu awe anajua DOM: Ili tutumie kutengeneza simple user interface)

Ni hayo tu. Ila hapo the main issue ni kujua javascript na html and css tu.
kwa faida ya wengi ungefafanua how > neural networks works tofauti na words match....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay.

kwanza kabla ya kuendelea,Kutokana na mm nlivyokuelewa tangia mwanzo ni kwamba hio library itakua inatambua kama kwenye paragraph ilioandikwa (be it email, sms, description, post, etc.) Kuna maneno yenye kumaanisha matusi au lugha isiofaa na sio kutoa suggestions za maneno kama inavyokua kwenye hizi keyboards za android

SO NTAELEZEA KUTOKANA NA HIO NOTION HAPO JUU.

----------------------------------
SASA ITAKUA HIVI
Mtu akiandika paragraph yake kwenye textarea(sehemu ya kuandikia maneno ktk web) yyt ambayo iko linked na hii library, yale maneno yote anayoandika yanakuwa checked everytime akiongeza character yyt kwenye hio textarea, na maneno ambayo yatakua hayafai basi yatakua highlighted. Kama framework ikigundua baadhi ya maneno yako highlighted basi itazuia input ya hio texarea kuwa submited na kumwambia mtumiaji arekebishe kwanza hayo maneno.

Sasa kama ulivyosema khs neno kama 'assets' kweli ukiangalia herufi 3 za kwanza ni 'ass' lkn kumbuka mtu atakua bado anaandika, so only complete words ndizo zitakua scanned, na framework itatambua kama neno fln ni complete pale tu litakapo fatiwa na space. Kuifanya iwe rahisi hapa tutatumia REGEX kutambua kama neno limeanza kwa kutenganishwa na space na kisha kutenganishwa tena na space mwishoni. So only complete words ndizo zinakua scanned.

Na process ya kupata complete words ndani ya textarea inajirudia everytime mtu anapoandika character yyt ndan ya hio textarea.

So hilo neno 'assets' litakua bado halijawa scanned hadi pale framework itakapo detect space, mfano mtu akaandika 'ass sets' hapo framework itaona kuna maneno mawili yaan 'ass' na 'sets' lkn kama mtu akiandika bila space yaan 'assets' hilo neno litakua ni moja tu na linakua scanned kama 'assets'.

Ufanyaji kazi wa hii hautokua kama filter search.

Sasa ili process nliosema hapo juu ifanyike kwa efficiency kubwaa inabidi framework iweze kusoma maneno yaliopita kabla na kugundua neno limetumika ktk mazingira yapi. Mfano kama mtu anataka kuandika matusi na akajua space inafanya neno liwe complete basi anaweza kuandika 'A S S' badala ya 'ASS' ilimradi tu afikishe ujumbe wake wa kutukana. Sasa kwa cases kama hizo na nyngnezo ndo inahitajika A.I ambayo itadetect hizo tricks, na ndo maan nkashauri Neural networks
 
Ila kama pia unataka framework iweze kusuggest maneno mtu anapoandika, hio pia inawezekana kwa kuongeza utundu kdg
 
Ila kama pia unataka framework iweze kusuggest maneno mtu anapoandika, hio pia inawezekana kwa kuongeza utundu kdg
hiyo option ya A.I nadhani ndo best zaidi...je ku implement haitochukua mda zaidi , tofauti na words match?

...>>kingine tutoe mda kwa wasio pitia uzi huu waje..na atakae onyesha interest basi atajumuika otherwise hakuna interest ya wengine kujitokeza....tuta tafta other means hata sponsors ukienda na wazo hili ni rahisi mtu ku fund coz linamantiki.

Time is not an issue coz am somehow experienced in A.I with brain.js

Sema tu tusubiri mawazo mengine labda inawezekana A.I is not necessary
Ngoja tuone mawazo ya wengine pia
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom