To unlock locked new smartphone!!

Penny

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
575
48
Za leo waungwana,

Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock locked phones. Nimenunua smartphone ambayo iko locked.

Asanteni kwa msaada wenu.
 
Dada fanya u m PM
Mwl.RCT
.
Sijui kwa wanaokuja, nao waweza kuwasikiliza pia
 
Last edited by a moderator:
Za leo waungwana,

Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock locked phones. Nimenunua smartphone ambayo iko locked.

Asanteni kwa msaada wenu.
Ili kufanyia unlocking simu yako taarifa tatu zinatakiwa

  1. IMEI namba ya simu yako
  2. Mtandao iliyokuwa inatumia, Mfano Orange, O2, AT&T, Vodafone n.k
  3. Nchi ya huo mtandao ilikuwa ikitumika;mfano UK, SPAIN, US n.k
Andika hivi: IMEI -522021895767 -vodafone-UK ; Hapa kwanye huu uzi:https://www.jamiiforums.com/matanga...cking-phone-by-imei-number-3.html#post7819313
 
Za leo waungwana,

Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock locked phones. Nimenunua smartphone ambayo iko locked.

Asanteni kwa msaada wenu.

Nimeipenda siginecha yako......
BTW Unapotaka kusaidiwa kitu toa maelezo yaliyojitosheleza
Kuna simu zaidi ya aina 100 na zina namna tofauti za ku unlock
 
Unatumia sim gani twaweza kukupa step by step guide
Ntashukuru sana ndugu,

Hio simu nililetewa kutoka Sweden, ni aina inaitwa Sumsung galaxy pocket. Ziko mbili na details zingine ni

IMEI:359078/05/288528/5 -Comviq -Sweden
IMEI:359078/05/286916/4 -Comviq -Sweden

Asanteni kwa msaada wenu.
 
Hyo fanya haya zima cm af unaminya button ya power ya kuongeza sauti na home then chagua system resert i siny remember wel ila utakutana na maneno kama reboot na hayo mengi chagua hlo la sytem then unaclear all data then itaanza unachagua kwa kutumia huzo button za kuonhezeq sauti na unakubali kwa kutumia power yhen hapo itaanza upya kila kitu utaanza na accauny yako na kila kitu chako
 
Yani ndugu yangu sijakuelewa kabisaa
 
unacho msaidia hukijui/
bado huyo dada hajajieleza vzury, kama simu haisomi network zote/au imelokiwa na code
 
Habari!
Naamini naweza kusaidia Penny ku-unlock simu zako kama zimekuwa locked to sweden networks.
Huduma imegawanyika sehemu tatu.
1)Regularly -Ambayo delivery time ya unlocking codes zako ni 6-36hrs.
2)Express -Ambayo delivery time ya unlocking codes ni 1-5hrs.
3)Instant -Ambayo delivery time ya unlocking codes ni instant.
0718134754
 
Ok asante ntakutafuta kaka.
 
Hyo fanya haya zima cm af unaminya button ya power ya kuongeza sauti na home then chagua system resert i siny remember wel ila utakutana na maneno kama reboot na hayo mengi chagua hlo la sytem then unaclear all data then itaanza unachagua kwa kutumia huzo button za kuonhezeq sauti na unakubali kwa kutumia power yhen hapo itaanza upya kila kitu utaanza na accauny yako na kila kitu chako

Ni wanawake wachache sana wanajua haya mambo ya factory reset aisee.. Wao wanajua kutumia tu baadhi ya apps za simu kama Inst, Twtr, Fb, hii ngoma kwake kubwa sana..
 
Za leo waungwana,

Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock locked phones. Nimenunua smartphone ambayo iko locked.

Asanteni kwa msaada wenu.

Hi unaweza kwa urahisi kufungua simu yako smart kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii WickedUnlock.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua smartphone yako. Ili kupata code una kutaja simu yako smart mfano, ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI idadi. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom