To Paprika, I love you so much listen to me Dear..!!

Te Lavista

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
1,626
2,843
Paprika member mwenzangu hapa jf
Najua sikufaham wala hunifaham, but moyo kiza kinene nimejikuta tu navutiwa na wewe.
Real ur so sweet, napenda siku moja tukutane tufahamiane nikueleze hisia zangu juu yako..
Paprika nakupenda natamani ningekufata pm nikakueleza but pm yako imefungwa, Sina mengi zaidi ya ujumbe huo na ningependa mama ungeusikiliza na kuufanyia kazi..!!
NB. Mama hujapenda nilichofanya usisite kuniambia hapa au kunitext Pm.
Ahsante......!!!

[HASHTAG]#Ray[/HASHTAG] van Boy Forever
[HASHTAG]#WCB[/HASHTAG] Forever
 
Paprika ni wangu mkuu.
Tafadhali kaa mbalinae
 
Skia Kijana tutagombana sana maana nimeshampim japo nipate namba amegoma,ila sitaki kuona mtu ana mfuatafuata maana me nampenda zaidi,kaa mbali na Paprika pliz usije kuletea taabu kijana,hata kama hataki yule ni shemegi yako!
 
Online crush ya mleta uzi ni Paprika.
Am pretty sure kilichokuvuta kwake ni ile post yake aliyosema...
"...huyo ana yake mbona wengine tunabinjuliwa haswa hata kijambo hakitoki"

Hiyo ipo kwenye uzi wa jamaa anayeshangaa kila akipiga gem binti anaacha mbolea kitandani.

Nyingine ni ile anayoiba soksi za baba ake kumpelekea mwanaume.
Kama wewe ni marioo Paprika ni bonge la deal, na naomba akukubalie.
 
Nipe link kaka nikaisome..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom