To Mshana Jr

Haya ndo maisha ya wateja wake anaetafutwa hapa
images (3).jpeg

Just a joke..🏃🏃
 
Subiri atakutumia namba yake kwa njia ya kunguru usikimbie tu ukiona kunguru ana hirizi kubwa kama nokia tochi
 
mmh! KWELI itakuwa unashida kubwa na Mshana Jr hadi umefungua iD mpya kwa ajili hiyo!!!!
Ukipata namba zake na mie naziomba, nina shida naye nataka aniangalizie nyota yangu, nina miezi karibia 6 sijatongozwa
Wewe kama mdada shukuru
Kuna dada mmoja alikuwa akitongozwa hadi kero sababu ya uzuri wake
 
Nawe vipi tena kwa profile yako naona udjat au unamwabudu horus mungu wa kimisri
Naipenda alama ya jicho! jicho linamaana kubwa sana kwangu,pia hi alama naipenda kwani nimetokea kuvutiwa na historia ya wamisri.. nikipata mpunga wa kutosha nitaenda kuyashangaa mapyramid na fahari mbalimbali za wamisri.. kuhusu Mungu I don't believe.
 
Hiyo alama ipo katika Hieroglyphics hizi ni system za maandishi za ancient Egypt,hata mimi niko interested sana na ancient Egypt japo mimi nipo kwenye mystery religion zao zikihusisha miungu yao kama kina ISIS,Horus,osiris na wengine,na imani nyingine kedekede kama za kwenye the book of dead
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom