To me this is THE Best Photo Of the Year

Wanaonekana ndugu hawa, kaka anasisitizia jambo huenda kuhusu kitabu au kuwahi home. Thanks for sharing.
 
attachment.php


Eti wewe uonavyo kamanda anamwambiaje mrembo hapo??? Nimeibamba hii picha kwa mshikaji wangu kwenye fb, anasema aliipiga akiwa njombe-iringa. its so nice nikaona tufurahie wote. its natural and original too...hahhaahh i love this snap!!

Mkuu huyo jamaa yako inabidi apewe credit basi hata kwenye blog. Maana mimi nilianza kuiona hii picha kwenye blog ya binti machozi.
http://ladyjaydee.blogspot.com/2010/07/my-love-is-your-love.html
 
Nadhani wote mmekosea.........

Jamaa anambembeleza swaiba asipeleke hizo fimbo kwa Ticha kwa kuwa ticha atammaliza.

Duh! yaani kama nilikuwepo......!
Lakini kusema ule ukweli picha imesimaa ile mbaya
 
sio ndugu jamani, according to mpiga picha aliwauliza nyie ndugu wakakataa...ukiwaangalia harakaharaka unaweza sema ndugu esp kwa kuangalia sura zao, lakini walipoulizwa walikataa so msitumie nature hahahaha
 
Kwanza ndugu wa kibongo sijui kama huwa wanafuatana hivi labda siku hizi...enzi zile kaka yangu alikuwa anakuwa na kundi la wenzake na mimi na kundi la wasichana wakati tunatoka ama tunaenda shule...mmmmh labda kaka yangu alikuwa mkatili sana sidhani kama angenishika mkono mkono au tungeshikana mikono kihivyo ..maana ilikuwa kila tukiwa pamoja ni mabifu tu...wanadai watoto wanaofuatna hawamabifu sana sijui ni kweli au uzushi
anyway ni picha mzuri huyo mkono wa huyo dada umeonyesha ' ukishikwa shikamana'.
mix with yours
 
hAKO KASICHANA SHUPAVU KWELI KWANZA KANA COMFO YA KUFA MTU CHENYEWE NDIO KIMEMBAMBA MZEE.KIPINDI HICHO MIMI NILIKUWA NA AIBU SANA NILIKUWA SIWEZI KUMBAMBA MSICHANA HIVYO WALA MSICHANA KUNIBAMBA NILIJUA NI DHAMBI NA SITOQUALIFY KWENYE WITO WANGU WA UPADRE.
 
Huyo wa kike kama vile anataka kwenda kucheza then bro kaweka ngumu hakuna kwenda kokote leo breki ya kwanza nyumbani.

Nice photo of the day.
 
sio ndugu jamani, according to mpiga picha aliwauliza nyie ndugu wakakataa...ukiwaangalia harakaharaka unaweza sema ndugu esp kwa kuangalia sura zao, lakini walipoulizwa walikataa so msitumie nature hahahaha

ZionTZ.... mwambie huyo aliyepiga ai-email BBC. Kwenye website yao kuna maelezo yote...
 
Hao ni ndugu jamani.

Nakubaliana na wewe hawa ni dada na kaka wametoka shule wanakwenda nyumbani na ndio maana dada amekumbuka hata kuokota kuni kumpelekea mama!! Hawa ni watoto wa vijijini; Mungu awanusuru na tabia mbaya za kutembea nusu uchi tuzionazo huku mijini!!
 
ZionTZ.... mwambie huyo aliyepiga ai-email BBC. Kwenye website yao kuna maelezo yote...

em toa full link hapa af nimwambie mwana, wanafanana tu sio ndugu kabisa. na hicho hicho ndo kilimfanya mshikaji awaulize....em nipe kwanza hiyo link ya bbc.
 
Ni ndugu, its so wondeful, i like it

wote tuja-judge kwa kuangalia sura....but sio lazma... u cant believe sio ndugu hawa jamani...labda kwasababu wote ni wanyalu bt oyz sio ndugu kabisa.
 
At least hao wanaviatu, enzi zetu ilikuwa chachacha na jua la saa saba utakama nalo.
 
Back
Top Bottom