To me this is THE Best Photo Of the Year

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
attachment.php

Eti wewe uonavyo kamanda anamwambiaje mrembo hapo??? Nimeibamba hii picha kwa mshikaji wangu kwenye fb, anasema aliipiga akiwa njombe-iringa. its so nice nikaona tufurahie wote. its natural and original too...hahhaahh i love this snap!!
 
duh mkuu.....hii picha nimekubali...ya mwaka....kamanda sijui anamwaga sera?no lakini naona mzigo wake huo tayari....BACK IN THE DAYS......NO BILLS TO PAY......
 
Mjanja anasomesha halafu tomboy ana bonge la jeans kwa ndani.

Bongo kuna sehemu zina baridi kuliko southern Italy.
 
Aaaaw!..nice one, expression ya huyo mtoto wa kiume acha tu na mkono kashika!!..wamefanana pia,lol:)
 
Dogo anamwambia bibie, 'we! mwalimu mbinje anamwogopa baba yangu ile mbaya. Ukitaka na wewe amwogope baba yako mwambie baba yako ni mganga'
 
Eti wewe uonavyo kamanda anamwambiaje mrembo hapo??? Nimeibamba hii picha kwa mshikaji wangu kwenye fb, anasema aliipiga akiwa njombe-iringa. its so nice nikaona tufurahie wote. its natural and original too...hahhaahh i love this snap!!
Tunatoka mbali it is true it is a nice picture. Labda anamwambia maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana.
 
Just a lovely pic !! It's dry season , sweater & hat's colour match with it.
Beautifully !!!!
 
Aaaaw!..nice one, expression ya huyo mtoto wa kiume acha tu na mkono kashika!!..wamefanana pia,lol:)
..amenimaliza huyo mtoto wa kike ndai kapiga jeans then sketi ya shule. sasa sijui akifika shule wanamruhusu kweli kuingia nalo class?? I like it any way:lol::lol:
 
kuna baridi sana kule. watot wa kike wanaruhusiwa kuvaa hivyo. hasa njombe, makete, ludewa.

maeneo hayo ukifika baa na kuagiza bia basi lazima umalizie kwa kusema na jiko la mkaa uwe haujakolea sana

mfano. ''niletee chui mmoja na jiko la mkaa uwe haujakolea sana''
 
Mweeee! widambe ana mapozi huyo! Mambo ya Njoluma hayo. I like it
 
Watoto wa Kamwene haooooooooo inaonyesha Mkuu ZionTZ wewe unatoka Iringa?

hahahahhahah mzizimkavu mbona mi co wa kule,...? sema nimemaindi sana hili pozi...yani kama wazazi wao wakafanikiwa kui-hifadhi hii picha af wakaja kuwaonyesha wakiwa watu wazima hata kama kila mtu atakua na maisha yake, lazma watataftana kwa kweli...japo kukumbushiana tu...its such a nice photo...yani hamna kuizigiza hapo ni full hisia....hahhhahahahh
 
Mkuu ZionTZ inaonyesha hawa wanapenda? sio wanaotoka katika familia moja. na wakiwa wakubwa wanaweza kufanya majambozzzzzzz
 
Back
Top Bottom