To Chinese People "failure is not an option" but to many African countries failure is an option.Why?

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
540
507
Nmekuwa nikijiuliza sana hapa kwetu Africa,maana malengo mengi ya maendeleo tunapanga lakini ukiangalia jibu mbadala ni kufeli na siyo kufanya kama wenzetu Wachina ambao kwao kufeli ni kama kosa la jinai mambo yakishapangwa hasa kimaendeleo lasivyo kataa mapema ukipewa mradi uusimamie,mwisho wa siku ukipuuzia hamna samahani eti nimeshindwa.
 
Back
Top Bottom