To be honest, I love Gadaffi...

pisces

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
240
61
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
 
Gadaffi huyu huyu alimsaidia Idd Amin kwenye vita vya kagera dhidi ya Tanzania, leo wewe Mtanzania unamsifia wakati aliua ndugu zetu kule Kagera! duh haya ndo hivyo malipo hapa hapa duniani! endelea kumpenda wakati aking'olewa
 
vita vya idi amin ni kizungumkuti wa kulaumiwa ni baba yetu aliyetupeleka kupigana vita kwa maslahi binafsi fuatilia ndugu ujue ukweli.........sie ndo tulilianzisha lile dude ndugu yangu
pole wewe
I SUPPORT GADAFI sawa hawezi kukosa mapungufu yake BUT UKWELI NI KWAMBA ALITTHUBUTU KUWA MADHUBUTI NA IMARA NA MWIBA KWA MATAIFA MAKUBWA.. na hii ni mbinu imepangwa ya kumuangushia mbali. INASIKITISHA

Gadaffi huyu huyu alimsaidia Idd Amin kwenye vita vya kagera dhidi ya Tanzania, leo wewe Mtanzania unamsifia wakati aliua ndugu zetu kule Kagera! duh haya ndo hivyo malipo hapa hapa duniani! endelea kumpenda wakati aking'olewa
 
220pxnassergaddafi1969_1.jpg Gadaffi 1969"

king-idris-wiki_1.jpg
King Idris

He didnt walk to is dream since the revolution 1972 day,what goes around comes around.

Gaddafi has been in power since 1969, when he and a small cabal of military officers staged a coup d'état against King Idris, first and only king of Libya, who reigned from 1951 to 1969.

Idris was Emir of the Territory of Cyrenaica since 1916 and helped the Allies fight the Axis in Northern Africa in World War 2. With the defeat of Nazi General Erwin Rommel and his armies, The Emir was able to form an official government for the area. With Benghazi as his capitol Emir Idris was able to unify Libya under a single government.

He negotiated his position with the UK and the United Nations and was proclaimed King of Libya on December 24, 1951.On September 1, 1969, Gaddafi staged his bloodless coup while the King was in Turkey for medical attention. In 1972 Gaddafi relinquished the title of Prime Minister and was given the title "Guide of the First September Great Revolution of the Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya."

Plural: coups d'état -also known as a coup, putsch, and overthrow-is the sudden, extrajudicial deposition of a government usually by a small group of the existing state establishment-typically the military to replace the deposed government with another body; either civil or military. A coup d'état succeeds if the usurpers [A usurper is someone who takes another person's title or position when they have no right to.] establish their dominance when the incumbent government fails to prevent or successfully resist their consolidation of power. If the coup neither fully fails nor achieves overall success, the attempted coup d'etat is likely to lead to a civil war.
 
Gadaffi huyu huyu alimsaidia Idd Amin kwenye vita vya kagera dhidi ya Tanzania, leo wewe Mtanzania unamsifia wakati aliua ndugu zetu kule Kagera! duh haya ndo hivyo malipo hapa hapa duniani! endelea kumpenda wakati aking'olewa
Kwa hiyo wewe unamsupport Mmarekani na washirika wake kwa kuwaua wa Iraq, Afghan, Vietnam, Somalia and the list goes no? you must be kidding bro
 
cha msingi ni kuwa je kuondoka kwa gaddafi kutaongeza au kupunguza uhaba wa mafuta duniani? imefika wakati tuache kusema juu ya bara lote la afrika na tuanze kufikiri juu ya tanzania, ata kama tunaweza nasi tungeshiriki kumtoa ili tupate mgao wetu toka marekani tuendeleze nchi yetu tuachane na siasa za jumla za bara lote

huwezi kuendelea bila kunyonya wenzako.........tazama china na marekani
 
Gadaffi namkubali sana.Ni kiongozi anayeweza kujenga uchumi unaojitegemea.
Gadaffi hakusubiri Mungu alete mvua ndio apate chakula na umeme kama viongozi wengine.
Gadaffi hakutegemea kuombaomba ili aendeshe nchi yake.
Walibya wangenipa Gadaffi aongoze nchi yangu ningewapa kiongozi wangu na twiga 300.
 
To be honest simpendi Gaddaf hanguko lake ni furaha na burdani tosha.Gaddaf ni kiongozi wa Libya mwenye sifa zote za udikteta siwezi kuuzunika dikteta akiondolewa madarakani amekaa muda mrefu sana ameshindwa kutambua yeye ni mwanadamu kama wanadamu wengine alistahili kujua na kuchukua hatua ya kumpisha mtu mwingine.

Gaddaf alikuwa na ndoto ya kuunda umoja wa Afrika [United state of Africa] lakini alikosa sifa kuu ya kuunda na kuongoza umoja huo.Kwanza alitaka kuongoza umoja huo lakini hapo hapo alikuwa akidharau haki na utu wa waafrika weusi misimamo yake mara nyingi ilitukuza uarabu.Mfano mzuri ni suala la Sudan alikuwa akiwaunga mkono waarabu wenzake wa North Sudan dhidi ya waafrika wa Sourth Sudan.Gaddaf angewezaje kuongoza Afrika wakati anadharau haki na utu wa Waafrika.
 
Wakati wabongo mnamlilia Gadaffi watu wake aliowatawala kwa miaka 42 wanashangilia kuondoka kwake.
Mseveni aliwambia wapinzani wake kuwa kwotapin inaingizwa kwenye baisikeri na nyundo na utolewa na nyundo.
 
Asante Kaka, Umenishika kwelikweli.... Big Up!! Mungu awe mlinzi wake hasa kivita na hata akishindwa au akishinda, namuombea ushindi natamani sana Mungu angeeshuka LIBYA, Mungu anafanya mzaha sana Mtu km Gaddafi Mungu alipaswa ampe ulinzi na kuuonesha Ulimwengu kwamba anaweza live, nadhani Gaddafi kafanya mabo mengi kimungu ambayo anastahili zawadi kuwashinda adui na sio kumuadhiri km anavyoadhirika sasa, Mola Amfanyie wepesi Insha-Allah.
 
Kama ishu ya Demokrasia mbona Libya walikuwa na mfumo wao tofauti kabisa na wanaotaka watu wafuate?to me tungefuata mfumo wa libya kama inawezekana.

Hebu fikiria nchi ya jangwa lakini kaifanya kuwa ardhi ya kulima chakula chao, kuwapa wanachi wake makazi bora ya kuishi yenye viyoyozi katika nchi ya jangwa na joto kali kaleta neema kubwa nchini kwake na kuweza hatya kusaidia ndg zake wengine wa waafrika Tanzania tukiwa wanufaikaji wa
misaada toka kwake

Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
 
Me Hate Him ........
Aliua ndugu zangu kwenye vita vya Kagera, SIMPENDI, acha aondolewe
 
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Hauko peke yako ndugu, inanisikitisha sana na style ya uondokaji wa Gadaf japo ni kweli alitakiwa aache demokrasia itendeke nchini kwake akitambua fika kwamba yeye siyo Mungu.
 
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.

Kama unampenda kanywe naye chai!!!

Yaani kweli unataka tukuamini kuwa wewe unampenda Gadaffi kuliko Walibya weneyewe??
 
Gadaffi namkubali sana.Ni kiongozi anayeweza kujenga uchumi unaojitegemea.
Gadaffi hakusubiri Mungu alete mvua ndio apate chakula na umeme kama viongozi wengine.
Gadaffi hakutegemea kuombaomba ili aendeshe nchi yake.
Walibya wangenipa Gadaffi aongoze nchi yangu ningewapa kiongozi wangu na twiga 300.
Itake radhi tume ya Taifa ya uchaguzi kwa kumdharau Rais wao kama tume siyo Watanzinia
 
Unafki mbaya sana..!si alikuwa anatoa misaada misikitini mbona allah hamsaidii muda huu anamwacha anakula kichapo ,nimeamini mungu wa Gadafi aka allah ni mdhaifu sana !inamaana kazi ya kujenga mosque that gadafi did ,mungu wake aka allah kaona ni ujinga tu na hakumpa thawabu'!poor gadafi !i hate gadafi ,killed my grandpa at kagera war with that fool Idi amini!
 
Back
Top Bottom