To be a Premium Member

easy u need 24hrs flowing inovative, invertive (thoughts) under creativity. make sure u have multtopics and avoid repition
Hapana, kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa Senior Member na kuwa Premium Member!

Premium Members ni wale ambao unaona wana Bold names, hawa wamechangia walau chochote na ndo wanawezesha wengine kuweza kuendelea kuburudika na service zinazotolewa na JF.

Ili kuweza kujua wanachangiaje soma hapa:


JINSI YA KUICHANGIA JF

Na ili kujua unapandaje vyeo hapa JF unaweza kusoma hapa:

JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom