Typical Tz
Member
- Sep 13, 2011
- 45
- 4
Kwa wote tunaohangaika kutafuta AJIRA baada ya kuhitimu!
Kwa mtazamo wangu nawaombeni tufanye yafuatayo:
Tuendelee kutafuta kazi kupitia vyanzo mbali mbali, LAKINI kwakuwa hatujui tutapata lini kazi na maisha ndio magumu kila leo, nawaombeni tutafute namna ya kujitengenezea ajira tuache kuogopa nduguzangu!
Tutafanikiwa kama tukiwa na umoja na nia ya kweli, kwa kuunganisha FANI na UJUZI tofautitofauti tulionao tukiwa na lengo moja la kupambana na huu umaskini wetu, nawaambieni haijalishi hatuna pesa za kuanzia wala uzoefu kama wengi wanavyofikiri tutafanya kitu cha maana sana na tutafika mbali. (kikubwa tuunganishe mawazo ye2 kwanza ,hivyo vingine vitafuata)
Hii ndiyo naona suluhu! kuliko kila mtu ahangaike kivyake Dunia ya leo hasa kwa sisi tunaohitimu ambao wengi wetu,kwa mfano mimi binafsi sina kazi, sina pesa, sina mtandao..naona inakuwa ngumu sana kufanikiwa. Hivyo kwa yyte mwenye nia ya kusaidia zaidi wazo langu na pia kwa yyte aliyetayari kuungana nami tuwasiliane kupitia nwk2020@gmail.com