TO ALL JF MEMBERs: UJUMBE WANGU WA LEO @M1

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
“Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri”Hizo kondom mnazojifariji nazo pia haziaminiki, Leo wewe ni mjanja wa kushawishi, kuchochea na kufanya uzinzi na uasherati,ya kesho huyajui.

-Fuata imani na mafundisho ya dini yako.
 
kidole hiki unachotunyooshea kumbuka nawe vitatu vinaelekea kwako
 
“Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri”Hizo kondom mnazojifariji nazo pia haziaminiki, Leo wewe ni mjanja wa kushawishi, kuchochea na kufanya uzinzi na uasherati,ya kesho huyajui.

-Fuata imani na mafundisho ya dini yako.

Umekunywa?
 
"Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri"Hizo kondom mnazojifariji nazo pia haziaminiki, Leo wewe ni mjanja wa kushawishi, kuchochea na kufanya uzinzi na uasherati,ya kesho huyajui.

-Fuata imani na mafundisho ya dini yako.

kwani leo ni tarehe ngapi...:confused:
 
Back
Top Bottom