To all JF members(MMU exclusive); ile siku imewadia,. Kwa dhati kabisa nawaalika wote

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
Natanguliza mblele shukrani zangu za dhati kwenu wanajamvi....

Mwanzo nilianza hivi; Naomba msaada wa utaratibu katika kuomba uchumba kwa wachaga wa kibosho,.
Ikafata hii; Naombeni msaada katika kupata mdhamini wa ndoa
Sasa ni Hii..; Kwa dhati kabisa nawaalika nyote

Katika yote tukiacha la tatu., Nimepata ushirikiano wa kipekee kabisa tofauti na mategemeo,.maoni yenu ya msingi ndiyo yamenifikisha hapa..NASHUKURUNI SANA...
Sasa leo hii naja tena kwenu nikiwaalika katika kufanya hitimisho ya yale yote niliyokuwa nikiyasumbukia kwa takribani miezi 6 na sasa ni harusi yangu inayotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 27/08/2011 kwa ndoa itakayofungwa katika kanisa la K.K.K.T Arusha Mjini kati na baada ya hapo tafrija fupi yani Harusi yenyewe katika ukumbi au wa Family & Friends jirani na Masai Camp, ni matarajio yangu mtaitikia wito huu..
Kwa watakaoweza fika tupatiane PM jamani..
Nawasilisha
 
Big up mkuu.hongera sana kaka, karibu sana kwenye chama chetu kiitwacho CHAWAUTA (CHAMA CHA WALALA UCHI TANZANIA) Anza kupunguza idadi ya boxer au pajama za kulalia usiku ulizokunazo..pia anza kula au kupenda vyakula jamii ya supusupu hasa kongoro,supu ya samaki au pweza,asali na maziwa kwa ajili ya kazi nzito utakayokuwa unakabilina nayo usiku kasa kipindi hk cha mwanzo wa ndoa.
 
All the best!!mungu awajalie FURAHA,AMANI,UPENDO na UVUMILIVU katika maisha yenu ya ndoa.
 
<b>Mbeje</b> ni lazima arifu!...bila hiyo stimu haipandi chalii wangu!
<br />
<br />
mbula! Halafu tunaichanganya na viroba a.k.a mkojo wa firauni(valuu) au kaschana(konyagi) au piwa na kreti ya banana hapo unaonaje eti mnama?
 
Back
Top Bottom